• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Tuache kufanya kazi kwa mazoea- Dkt. Mkama

Imewekwa tar.: February 15th, 2022


Na Asila Twaha, TAMISEMI

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya  Rais Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Dkt. Switbert Mkama amewataka Wakurugenzi kusimamia  utekelezaji  na ubora  wa miradi yote inayotekelezwa katika maeneo yao ili thamani ya fedha ionekane.

Dkt. Mkama ameyasema hayo leo Jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha Wakurungenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dodoma  lengo likiwa ni kuwakumbusha majukumu yao  waliopewa katika kusimamia na kutoa matokeo chanya yaliyokusidiwa na Serikali katika utoaji wa huduma bora  kwa wananchi.

Akionesha kutokuridhishwa na utendaji kazi wa baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Idara  kushindwa kutekeleza majukumu yao ya Kisheria na kidhamu na kupelekea kushindwa kusimamia miradi kwa waledi amesema hatamvumilia za tabia za namna hiyo.

“Mnatakiwa kusimamia miradi kwa weledi mtambue kuwa ni  lengo la miradi hiyo ni kuwawezesha wananchi kupata huduma bora simamieni  miradi hiyo kwa makini msilete mazoea kwenye miradi, wengi wenu mnasimamia bila ya kufuata utaratibu”. Dkt. Mkama

Serikali haitamvumulia mtendaji yoyote ambaye ataenda kinyume na malengo ya Serikali ikiwa taratibu zote mnazifahamu, niwaambie Sheria, Kanuni na Taratibu za kinidhamu zitachukuliwa kwa kiongozi na mtumishi yoyote atakaefanya kazi kwa mazoea na kwenda kinyume na sheria na taratibu za Serikali katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.” amesisitiza

Ameelezea kuwa baadhi ya Halmashuri hazifuati utaratibu katika kufanya taratibu za manunuzi, kubadilisha matumizi ya pesa bila kufuata utaratibu na kutofuata utaratibu wa utoaji wa mikopo ya Serikali kwenye vikundi vya wakinamama, vijana na watu wenye ulemavu, hivyo kuwaonya watumishi watakao bainika kuenda kinyume na taratibu hatua kali za kisheria zitachukuliwa.

“Na nitoe rai kwenu watumishi wa umma kuwa hii si tu kwa Wakurugenzi bali ni kwa ngazi zote.” amesema Dkt. Mkama

Akizungumzia suala la kushuka kwa ukusanyaji wa mapato katika baadhi ya Halmashauri nchini kutokana na kuenda kinyume na utendaji kazi wa kutokutumia ama kuharibu mashine za ukusanyaji wa mapato, amezielekeza Halmashuri hizo kuacha tabia hizo mara moja kwani Serikali haitasita kuchukua hatua.

Kwa upande mwengine, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya  Rais Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa (Afya) Dkt. Grace Magembe amesisitiza suala la utoaji wa huduma bora kwa wananchi na kukamilisha miradi haraka ili kuwapunguzia wananchi kusafiri umbali mrefu ikufikia huduma za kijamii.

“Nisema tu kama huwezi kuhudumia wananchi maanake wewe hutoshi kukaa katika kiti ulichokalia sababu Serikali imetuamini ili tusimamie miradi na tuwahudumie wananchi katika utoaji wa huduma bora sasa kama unaona kiti ulichokalia hakikutoshi atapatiwa mtu ambaye  mwenye uwezo wa kusimamia na kutoa huduma bora kwa wananchi wetu.” amesema Dkt. Grace

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.