• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

TSC na Wakurugenzi shirikianeni mtatue kero za walimu

Imewekwa tar.: April 11th, 2022

Na. Asila Twaha, TAMISEMI

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya) Dkt. Grace Magembe amewataka Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) kushirikiana na Wakurugenzi, kujua kero za walimu na kuweza kuzifanyia kazi.

Dkt. Grace amesema hayo tarehe 6 Aprili, 2022 Jijini Dodoma wakati akifunga kikao cha mafunzo ya  wajumbe wa Kamati ya Tume ya Utumishi wa Walimu wa  Wilaya, Kanda ya Kaskazini na Kusini lengo likiwa ni kuwajengea uwezo  ili  kuweza kuendelea kufanya kazi zao kwa ufanisi.

Mafunzo mliyoyapata yakawe ni muongozo mzuri wa kuweza kutekeleza yale mlioyoelekezwa kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu  lakini pia msisahau busara na hekima katika utekelezaji wa maamuzi Dkt. Grace amesema, Serikali inatambua nafasi kubwa ya Sekta ya  elimu sababu ni watu mnaogusa maisha ya watu moja kwa moja, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amesema, ataendelea kuboresha miundombinu ya kufundishia na kujifunzia nitoe wito endeleeni kufanya kazi kwa kufuata miiko ya taaluma yenu.

“Tume ya Utumishi wa Walimu kashirikianeni na Wakurugenzi, Maafisa Utumishi  ili muwasaidie walimu kwenye kutenda haki mwalimu anayestahili kupewa haki yake apewe haki ya mtu haizulumiwi” Dkt. Grace

Kwa upande wa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Bi. Paulina Nkwama ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuboresha miundombinu  ya kujifunzia na kufundishia amesema, TSC itaendelea kusimamia walimu kwa kufuata Sheria,Taratibu wa upatikanaji wa haki na pale penye ukiukwaji wa maadili ametoa wito kwa walimu kuendelea kufanya kazi kwa  kufuata Sheria ya maadili ya Utumishi wa walimu sababu Taifa linawategemea.

Naye Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Profesa Willy Komba ameishukuru Serikali kwa kuona TSC ni chombo kinachosimamia  na kutenda haki ameiomba kuendelea kuiamini Tume  hiyo na pale inapoonekana  mwalimu amefanya makosa na ikigundulikana hana hatia haki itendeke.

Pia Dkt. Grace ametoa wito kwa  walimu hao wakaendelee kuwa walimu wazuri katika kuwaelimisha wananchi katika uandikishaji wa Sensa na kuwaambia walimu hao suala la kuhesabiwa ni moja ya njia ya kuleta  mendeleo ya elimu  amesema, mazingira mazuri ya walimu  husaidia kuleta  elimu iliyobora na kupatikana wataalamu.


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.