Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TIMU ZA UENDESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA ZATAKIWA KUTUMIA TAKWIMU KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

Imewekwa tar.: November 11th, 2022

Angela Msimbira DAR-ES-SALAAM

Uchambuzi wa takwimu sahihi unaofanywa na timu za uendeshaji huduma za Afya katika ngazi ya Halmashauri kupitia vyumba vya kuchakata takwimu (situation room) zitasaidia kuboresha utoaji wa huduma kwa jamii na kusaidia viongozi kufanya maamuzi katika kuboresha huduma za afya nchini ikiwa ni sambamba na kuongeza tabia ya kutumia takwimu kufanya maamuzi sahihi katika kuwahudumia wananchi.

Hayo yamesemwa na Mshauri wa Maswala ya ubora wa Huduma za afya wa shirika la Palladium Bw.Masanja Lumaneja leo Novemba 11, 2022 kwenye kikao cha kuwajengea uwezo Timu ya Uendeshaji wa huduma za Afya Mkoa wa Dar-es-salaam

Amesema kuwa uanzishwaji wa Vyumba vya kuchakata takwimu umesaidia uboreshaji wa afya za wananchi na kuwezesha viongozi kujenga utamaduni wa kutumia takwimu katika kufanya maamuzi ya utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Amesema kuwa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana USAID kupitia mradi wa Palladium waliongeza wigo wa maeneo ya utekelezaji wa huduma bora za Afya kupitia  mazuri yaliyoonekana  Kituo cha Afya Makole (Makole Model)Dodoma, Mkoa wa Dar es salaam Halmashauri 3 na mkoa wa Dodoma Halmashauri sita.

Akifafanua zaidi Mratibu wa Huduma ya Wauguzi na wakunga kutoka Ofisi ya Rais –TAMISEMI Bi. Mary Shedrack amesema matokeo yaliyonekana wakati wa matumizi ya takwimu kupitia vyumba vya kuchakata takwimu  katika Halmashauri 9 za mkoa wa Dar es salaam na Dodoma ni ongezeko la wanawake wajawazito chini ya wiki 12 kuhudhuria kiliniki, wanawake waliokuja kutibiwa na kuwa na dalili za ujauzito kupimwa kipimo cha ujauzito na waliogundulika wajawazito walisaidiwa kuanza kliniki mapema na kupata huduma .

Ameongeza kuwa vyumba vya  kuchakata takwimu (Situation room) zimesaidi timu ya uendeshaji huduma za Afya kuwa na uelewa wa Pamoja na kufanya maamuzi Pamoja kuhusu matumizi sahihi ya takwimu katika kufanya maamuzi.

Aidha, amesema kuwa katika uboreshaji wa afya kwa jamii mameneja wakiendelea na utamaduni kupitia vyumba vya kuchakata takwimu wataboresha huduma kwa jamii na kujijengea utamaduni wa kukagua takwimu zao na kuweka mkakati wa kuziboreshana kulifanya hilo jambo kuwa ni endelevu


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.