Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TARURA Taasisi ya Kwanza Kutekeleza Kampeni ya Upimaji wa VVU

Imewekwa tar.: June 27th, 2018

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI


Ikiwa ni Wiki moja tangu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassimu Majaliwa Majaliwa  kuzindua Kampeni ya Furaha Yangu chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI ambayo inalenga kupima Vvu na kuanza Arv’s mapema na kuagiza Taasisi zote za Serikali kutekeleza kampeni hii Wakala wa barabara za vijijini na mijini (TARURA) imekua Taasisi ya kwanza chini ya  Ofisi ya Rais TAMISEMI kutekeleza Agizo hili.


Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo  ya kujikinga na Vvu/ Ukimwi kwa  wafanyakazi wa TARURA Makao Makuu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo amesema zoezi hili litawafanya Wafanyakazi kufahamu afya zao na kuchukua hatua stahiki ya kuanza dawa mapema kwa wale watakaobainika kuwa wameathirika.


“Zoezi hili mtakalolifanya  leo linaonyesha nia yenu ya dhati ya kutaka kufanya kazi kwa bidii kwa sababu litawawezesha kutambua Afya zenu na kupanga namna ya kuenenda katika kutumikia Taasisi hii mpya na changa katia sekta ya miundombinu yenye lengo la kuboresha mtandao wa barabara zilizoko katika Mamlaka za Serikali za Mitaa” amesema Jafo.


Aliongeza kuwa ukijitambua inasaidia kupanga mipango yako ya kazi na maisha kwa ujumla, kitu ambacho kitakusaidia katika kutekeleza kazi zako kwa ujasiri na furaha zaidi tofauti na pale utakapokuwa hutambui afya yako wakati wowote unaweza kuanza kuumwa kitu ambacho  kitapunguza ufanisi katika kazi zako za kila siku.


Aidha Waziri Jafo aliwapongeza Uongozi wa TARURA kwa kuwa Taasisi ya kwanza chini ya Ofisi yake  kutekeleza Agizo la Waziri Mkuu lililozitaka Taasisi za Serikali kuanza zoezi la  upimaji wa VVU kwa watumishi wa Umma.


Waziri Jafo alitumia jukwaa hilo kuwakumbusha wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya barabara katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kufanya kazi hizo kwa ufanisi kwani hatasita kuagiza kusitishwa kwa mkataba wa Mkandarasi yeyote atakayeonyesha kulegalega katika ujenzi wa kazi za barabara.


Naye Kaimu Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Abdul Digaga amesema zoezi  la upimaJi  na utoaji wa mafunzo ya kujikinga na VVU kwa wafanyakazi wa TARURA litatanguliwa na mafunzo kisha upimaji utakaofanyika kwa muda wa siku mbili KATIKA Makao Makuu ya TARURA na litaendelea mpaka kwenye ngazi za Mikoa na Halmashauri zilipo Ofisi za TARURA.


Mwisho.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • GEITA YAENDELEZA UBABE KIKAPU WASICHANA

    June 12, 2025
  • MWANZA YAIADHIBU PWANI SOKA MAALUMU WASICHANA

    June 12, 2025
  • SANAA ZA MAONESHO ZAANZA RASMI UMITASHUMTA 2025 MKOANI IRINGA

    June 11, 2025
  • KILIMANJARO, RUVUMA NA NJOMBE MABINGWA RIADHA MAALUMU UMITASHUMTA 2025

    June 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.