Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TAMISEMI yafunngua kituo cha kutolea huduma kwa wateja

Imewekwa tar.: August 7th, 2020

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.  Selemani Jafo amezindua kituo cha huduma kwa wateja na kuwataka Watanzania kutumia mfumo mpya ulioanzishwa ili kuepuka kusafiri safari ndefu kwenda Makao Makuu ya TAMISEMI kwa ajili ya kupata huduma.

Akizundua Kito hicho leo katika ofisi ya Sokoine Jijini Dodoma Mhe. Jafo amesema kituo hicho tayari kimeshaanza kazi na tayari kuhudumia wananchi 100 katika kipindi cha siku tatu

Amesema kuanzisha kituo kipya cha huduma kwa wateja kitarahisisha Wizara kutoa huduma zake na kuhakikisha zinafika katika jamii kwa haraka.

“Niwaombe watanzania wote TAMISEMI imekuja na mfumo wa Huduma kwa wateja, tumieni mfumo huu, tumeamua kuanzisha kituo hicho kwa ajili ya kupunguza suala zima la watu kusafiri kuja Makao Makuu Dodoma kufuata huduma” amesisitiza Mhe. Jafo

Aidha Mhe.Jafo amewaomba wafanyakazi wanaotoa huduma katika kituo hicho  kufanya kazi yao kwa ufanisi bila kuchoka kwani wao ndio kioo cha Wizara huku wakizingatia kutoa huduma bora kwa mteja  ili waweze kupata mrejesho mzuri.

“Niwaombe kikosi kazi nyinyi ndio sura yetu ya TAMISEMI,nyinyi mna kazi kubwa sana yakufanya kuliko mtu yeyote, muonekano wa kwanza una umuhimu, muonekano wetu wa kwanza tukionekana vibaya tutaonekana vibaya, naomba mkajitume sana msichoke katika kazi yenu lakini majibu yenu yanatakiwa yawe sahihi bila kuleta ubabaishaji wowote.” Amesema Mhe. Jafo

Mhe. Jafo anafafanua kuwa kuanzishwa kwa kituo cha huduma kwa wateja kitaweza kuwasikiliza watu wetu kwa urahisi na ukaribu zaidi lakini tutaongeza kasi kwenye kufanya kazi na tutaweza kupata mrejesho kutoka kwa wateja wetu katika utoaji wa huduma.

Naye Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga  amesema kituo hicho kitakuwa mkombozi kwa Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwani itaongeza ufanisi na kupambana na rushwa kwa kundoa fursa ya wateja kukutana na watumishi.

Nyamhanga amefafanua kuwa uzinduzi wa kituo hicho  si kama kitasaidia wateja tu bali hata watumishi wetu kwa kuwa wapo waalimu ambao baadhi wanahitaji uhamisho na masuala mengine, sasa badala ya kufunga safari kuja hapa  watatumia kituo.

“Napokea simu nyingi sana walimu kutoka kila kona, simu za wananchi kuulizia masuala mbalimbali na si rahisi kutoa majibu ya haraka haraka kupita simu, hivyo naamini hata simu zinazopigwa kwangu na wasaidizi wangu zitapungua”.Amesema Mhandishi Nyamhanga

Nyamhanga amesema pamoja na kuwa ofisi yake imejitahidi kudhibiti utapeli ingawa bado changamoto hiyo ipo na kuwa kituo hicho kitapunguza vitendo vya rushwa.

“ Tutapunguza malalamiko tuliyokuwa tukiyapata, pia tupunguza mianya ya rushwa kwa kuondoa fursa ya wateja kukutana moja kwa moja na watumishi, na pia kuondoa kabisa utapeli ambapo baadhi ya watu wanaandaa barua feki za uhamisho.”anasisitiza Nyamhanga

Naye Msimamizi wa Kituo, Antelma Mtemahanji alisema amesema  kupitia mfumo huo, mteja atapiga simu na kueleza suala lake ambalo majibu yake yatatolewa papo kwa hapo kwa jambo ambalo halihitaji ufuatiliaji na kwa hoja zenye kuhitaji ufuatiliaji, mteja huyo atapewa ahadi ya kupigiwa simu kupewa majibu yake.

Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.