• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Taarifa tata ujezi wa stendi, zampeleka Waziri Jafo Singida

Imewekwa tar.: December 17th, 2020

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo  amekagua mradi wa Stendi ya Misuna Mkoani Singida ili kujiridhsiha baada ya kupata taarifa za mashaka kuwa mradi huo umetumia zaidi ya Sh bilioni 24.

Akizungumza Mkoani Singida leo mara baada ya kupewa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo, Waziri Jafo amesema  alifika kukagua mradi huo baada ya kupewa taarifa kuwa stendi hiyo imejengwa na gharama kubwa.

“Nimekuja hapa kujua gharama za mradi wa stendi zimetumika kiasi gani? Unaweza kushangaa nitoke nilikotoka kuja kujua gharama, lakini niko hapa baada ya kupata taarifa kuwa mradi huu umetumia fedha nyingi zaidi,” amesema Waziri Jafo

Waziri Jafo ameonyesha kuridhishwa mara baada ya kupewa  maelezo  na kukagua mradi huo  na kumuagiza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Nyamhanga kuwatuma wataalam kuhakiki mradi  ili kujiridhisha na gharama halisi za ujenzi wa Stendi hiyo.

“Kwa maelezo yenu na nilivyokagua utekelezaji wa miradi nimeridhishwa, lakini namuagiza Katibu Mkuu TAMISEMI kuwatuma wataalam kukagua kwa kina utekelezaji wa mradi huu,” amesema Waziri Jafo

Hata hivyo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Bw. Bravo  Lyampembile amebainisha kuwa Ofisi yake ilipokea zaidi ya Sh bilioni 24.27 na kati ya hizo Sh bilioni 2.7 zimetumika kujenga stendi kuu ya mabasi na stendi ndogo ya daladala

Akitoa taarifa, Bw.  Lyampembile amesema Halmashauri imejenga stendi yenye ukubwa wa mita za mraba 32,770  kwa gharama ya Sh 2,738,390,000 na  ujenzi uliokwenda sambamba na ujenzi wa choo cha kisasa, Ujenzi wa choo, uwekaji wa taa 34 za nishati ya jua, jengo la askari  wa usalama barabarani, vibanda viwili vya kukusanyia ushuru pamoja na ukuta unaozunguka katika eneo la stendi.

Amesema kuwa baada ya kukamilika, stendi inauwezo wa kuchukua mabasi makubwa 72 yanayoenda mikoani, mabasi madogo 56, pikipiki 59, bajaji 38 na sehemu ya kuendesha magari 52 ya watu binafsi.

“Kabla stendi hii kujengwa halmashauri ilikuwa inakusanya ushuru wa stendi kwa wastani wa Sh lakini tatu hadi laki nne kwa siku, lakini baada ya kufanya kazi makusanyo yameongezeka kutoka hadi kufikia Sh milioni 1.2 hadi Sh milioni 1.4 kwa mwezi.”

Manispaa ya Singida ilipokea Sh 24, 274, 104, 524.70 ikiwa ni moja ya miji 18 iliyopangwa kutekeleza mradi wa uendelezaji na uboreshaji wa mjini  ukilenga kuboresha miundombinu ya barabara, stendi na masoko, mifereji ya maji ya mvua, taa za barabarani.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.