Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Simamieni nidhamu mashuleni kuleta mabadiliko

Imewekwa tar.: March 11th, 2019

Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – Elimu  Tickson Nzunda amewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanasimamia maadili, utoro na uwajibikaji wa waalimu na wanafunzi ili kuweza shule zinazomilikiwa na Serikali ziweze kushindana katika ufaulu na shule binafsi nchini

Ameyasema hayo wakati akiongea na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi kwenye kikao kazi cha kujadili muelekeo wa masuala mbalimbali ya maendeleo kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.

Nzunda amesema kuwa  ili   kuweza kuwa na uimara  katika shule za Serikali  ni lazima kukawa na mpango maalumu wa kuimarisha shule za Serikali kwa kuzijengea heshima ili ziweze kupambana katika ubora na ufaulu na shule binafsi.

Anaendelea kufafanua kuwa Makatibu Tawala wa Mkoa na Wakurugenzi wote nchini wanatakiwa kuhakikisha kila shule inakuwa na mpango Mkakati ili kujua muelekeo wa malengo yaliyopangwa na serikali katika kutimiza majukumu ya kila siku ya shule zao.

Awataka kuhakikisha wanasimamia ufundishaji na ujifunzaji  kwa  kuwajenga  waalimu kuwa wabunifu na kuwapa fursa ya kupanga wenyewe wanayofundisha  ili kuwapima kutokana na matokeo wanayayafanya. Pia wahakikishe wanaimarisha  uongozi wa shule ili  kuongeza kasi ya ufaulu kwa wananfunzi.

Amefafanua  kuwa ili kuweza kufanikiwa katika suala zima la Elimu nchini ni lazima viongozi hao wakahakikisha  wanaimarisha bodi za shule  kwa kuwa bodi hizo ndizo muhimili mkuu wa Shule na  ndio wanaopanga mikakati  itakayotekelezwa ili kuleta maendeleo ya shule hizo.

Nzuda amesema ni vyema wakahakikisha waalimu wanafudisha kwa kutumia zana za kufundishia kwa kuzingatia mazingira yanayowazinguka  na kuhakikisha wanawatia moyo waalimu wanaofaya vizuri kwa kuwapogeza hata kwa kuwaandikia barua kwa kazi nzuri wanazozifanya ili  kuchochea mwamko wa  kufundisha kwa umakini zaidi.

Ameendelea kusisitiza  kuwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Kuhakikisha wanajenga msingi mzuri wa Elimu ya Msingi , kwa kudhibiti waalimu na wanafunzi watoro darasani  kwa kuwa fursa nyingi hazipatikani mashuleni kutokana na mdondoko wa wanafunzi nchini na kuleta matokeo mabaya katika shule za Serikali.

“Tumefaya utafiti  na kugundua kuwa  kila siku  katika kila shule asilimia 12 ya waalimu ni watoro mashuleni , hivyo wakurugenzi mnatakiwa kudhibiti utoro wa waalimu mashuleni  ambapo na asilimi 37 wapo shuleni  lakii hawapo darasani kufundisha “ Amesema Nzunda

Amewataka kujenga mahusiano mazuri kwenye maeneo ya shule  kwa kuwa taaluma haiwezi kufanikiwa  mahali ambapo hakuna utendaji kazi wa pamoja na waone waajiri wanawadhamii na shule kunakuwa ni mahali  pazuri pa kuishi na kufanyia kazi.

Aidha amewaonya Makatibu Tawala na Wakurugenzi kutokufanya maamuzi ya mihemko katika suala zima la kuwaonya waalimu bila kufanya utafiti wa kina kuhusu chanzo cha tatizo la kushindwa  kufaulisha vizuri mashuleni kwao kwa kuwa ni watumishi wa umma, hivyo waheshimiwe  wadhaminiwe  kulingana na taluma yao na wafuate she ria na taratibu za utumishi wa umma.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.