Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Serikali yazidi kubana mianya ya wizi wa mapato ya ndani

Imewekwa tar.: January 22nd, 2020

Seriakli imezidi kubana mianya ya wiza wa mapato ya ndani katika Mamlaka za Serikali za mitaa kwa kukabidhi mashine za kukusanyia mapato  kwa njia ya kielektroniki 7227 zenye mfumo madhubuti wa kudhibiti wadanganyifu kucheza na mashine hizo.

Zoezi la kukabidhi mashine hizo zenye muonekano unaofanana na utambulisho wa Serikali wakati zinapowashwa na kuzimwa limefanywa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa  Mhe. Seleman Jafo Jijini Dodoma mapema leo kwa Wakurugenzi waHalmashauri zote 185.

Akikabidhi mashine hizo Jafo aesema kuna watu walikua wanaendelea na ujanja wa kudukua mifumo ya mashine zilizokuwa zinatumika kukusanya mapato ikiwemo kubadili tarehe na na kuzima internet ili fedha hizo zisisomeke kwenye mfumo wa Serikali.

Aliongeza kuwa mashine za awali zilikuwa rahisi katika kubadiri baadhi ya taarifa ndiyo maana wameamua kuja na mfumo mwingine unaokwenda kuzuia kabisa wizi huo.

“Sasa mwisho wa udanganyifu wa naman hii umekwisha kwanza mashine hizi tumeziagiza wenyewe na kuweka mfumo tunaotumia sisi na hauruhusu kubadilisha tarehe wala kuzima internet hivyo chochote kitakachotokea kwenye mashine hiyo kitaripotiwa na kubainika mara moja” alisema Jafo.

Hata hivyo, Jafo alisema licha ya baadhi ya halmashauri kuwa na makusanyo makubwa, lakini anapata kichefuchefu kuona wanashindwa kujenga  hata na matundu ya vyoo vya walimu katika maeneo yao.

“Tunakwenda kuziba mapengo ya wizi, lakini kuna watu wanakatisha tamaa kwani hadi mwishoni wa desemba mwaka jana, hawakuwa wamefikia hata asilimia 20 ya malengo ya makusanyo wakati wengine walikuwa zaidi ya asilimia 50,” alisema Jafo.

Akizungumzia kuhusu mashine hizo, alisema zinakwenda kuongeza idadi kwani awali kulikuwa na mashine 10,100 katika halmashauri zote nchini hivyo kwa sasa kutakuwa na mashine 17,327  ambazo zitapelekea halmashauri kuwa  na uwezo wa kukusanyo juu zaidi.

Jafo aliongeza kuwa mashine hizo ni kipimo kwa wakurugenzi kama wanatosha au hawatoshi lakini pia alisema mwezi April mwaka huu atamkabidhi Rais majina ya wote ambao anapendekeza wachukuliwe hatua  baada ya kuonesha kushindwa kutimiza majukumu yao.

Katika hatua nyingine Waziri amesema kuna wakurugenzi wengi wanafanya kama wanavyotaka wao hali iliyopelekea baadhi ya halmashauri kushindwa kulipa hata posho za madiwani, akasema kuna halmashauri zinadaiwa na madiwani Sh 758 na akakabidhi taarifa hiyo kwa Katibu Mkuu Eng. Nyamuhanga ili aweze kuifanyia kazi.  

Upatikanaji wa mashine hizo 7227 zimepatikana kupitia  msaada wa Norway ambapo Balozi wa Norway nchini Tanzania Elisabeth Jacobsen alisema nchi yake imetoa msaada huo baada ya kuzingatia uhusiana na ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.

Jacobsen alisema makusanyo ya Tanzania yatapanda kulinganisha na awali lakini akasema mashine hizo zimetengenezwa kwa tejknolojia ya hali ya juu hivyo si rahizi kudukuliwa.

Katibu Mkuu wa OR- Tamisemi Eng. Joseph Nyamhanga amesema mashine hizo kila moja ilinunuliwa kwa dola 140 ambazo ni sawa na shilingi 320,000 ambazo  kwa jumla zimegharimu sh 3.2 bilioni wakati bei ya kawaida wangeweza kununua kwa thamani ya sh 6.5. Bilioni hivyo wameokoa zaidi ya Sh 4 bilioni.

Nyamhanga alisema mashine hizo zina neno maalumu, rangi na haziruhusu kuweka mifumo mingine hata kubadirisha tarehe ambapo amesema njia hiyo ni ya kuwadhibiti wachakachuaji.

Haya ni mafanikio makubwa kwa OR-TAMISEMI kuweza kukabidhi mashine hizi ambazo zitasaidia kuongeza mapato ya Halmashauri na kutekeleza miradi ya maendeleo.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.