Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Serikali yatumia shilingi bilioni 968 kwa elimu bila malipo nchini

Imewekwa tar.: February 4th, 2020

Serikali imetumia jumla ya shilingi bilioni 968 kugharamia  mpango wa elimu msingi  bila  malipo ambapo  fedha hizo  zinapelekwa  moja kwa moja  katika shule na kuwafikia wanufaika.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo hivi karibuni wakati akibainisha mafanikio ya ofisi yake katika kipindi cha miaka minne  ya utawala wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. John Pombe Mgufuli.

Mhe Jafo amesema  dhana ya utoaji wa elimumsingi  bila malipo inazingatia  uendeshaji wa shule bila ada wala michango yeyote ya lazima kutoka kwa  wazazi au walezi wa wanafunzi ambapo mpango huo Disemba 2015  hadi Desemba  2019

Anafafanua kuwa kuanzia Disemba  mwaka 2015  Serikali ilianza  kutoa shilingi bilioni 18.77 kila mwezi  kwa ajili ya kugharamia  mpango wa elimu bila malipo  mpaka mwaka  2017 ambapo Serikali ilihuisha  kiwango hicho.

“Kuanzia julai ,2017  ilihuisha  kiwango hicho  na sasa kila mwezi  zinatolewa shilingi  bilioni 23.8  zikiwamo shilingi  bilioni 3  zinazopelekwa baraza la mtihani  Tanzania kwa ajili  ya shughuli za Mitihani, hivyo ongezeko la bajeti  lililotokana na ongezeko la idadi ya wanafunzi  wanaonufaika na mpango huo”ameongeza Mhe. Jafo

Mhe Jafo anaendelea kusema kuwa  katika kipindi hicho  shule za msingi za za Serikali  zimepokea shilingi  bilioni 440.52 ambapo kati ya hizo  shilingi bilioni 31.58 zimetolewa kwa ajili  chakula kwa wanafunzi wa bweni, chakula kwa wanafunzi wa kutwa shilingi bilioni 15.28, ruzuku  ya uendeshaji shilingi bilioni 217, posho za  madaraka  kwa wakuu wa shule  shilingi bilioni 138.51 na posho za madaraka  kwa maafisa  elimu shilingi bilioni 40.98

Hata hivyo,  amesema  kwa upande wa shule za Sekondari mpaka sasa zimepokelewa shilingi bilioni 527.57 ambapo chakula kwa wanafunzi  wa bweni ni  shilingi bilioni 258.50, fidia ya ada kwa wanafunzi wa kutwa shilingi  bilioni 115.49, fidia ya ada kwa wanafunzi wa bweni  shilingi bilioni 96.18 na posho za madaraka  kwa wakuu wa shule  shilingi bilioni 38.05.

“Mpango huu umechangia kuwepo kwa ongezeko la wanafunzi wanaoandikishwa mashuleni kutokana na kuondolewa kwa kikwazo cha ada na michango pamoja na kuongezeka kwa ufaulu katika shule za Serikali “ amesema Mhe. Jafo

Wakati huohuo, Mhe. Jafo ameongeza kuwa Serikali imetumia shilingi  bilioni 343.79  kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa Miundombinu  ya elimu ya shule za Msingi na Sekondari katika kipindi cha kuanzia Desemba 2015 hadi desemba 2019.

Aidha, kupitia mradi wa EQUIP Tanzania Serikali imetumia jumla ya shilingi bilioni 20.1 kwa ajili ya ujenzi wa vituo shikizi katika shule 251 vyenye vyumba vya madarasa 502, ofisi za waalimu 251, matundu ya vyoo, 1,382 na mataki ya maji 1,255.

Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.