• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Serikali yapongeza ujenzi wa madarasa Jiji la Mwanza

Imewekwa tar.: December 20th, 2021

Na Fred Kibano

Serikali imeridhika na hatua ya ujenzi wa madarasa 98 ya shule za sekondari za Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kumaliza kwa wakati na kujengwa na thamani halisi ya fedha ujenzi ambao umegharimu shilingi Bilioni 1.96

Dkt. Dugange Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI ametoa pongezi hizo hivi leo baada ya kukagua ujenzi wa shule za sekondari za Pamba na Buchelele zote za Jijini Mwaza.

Amesema Serikali inawajali wananchi wa Mwanza wakiwemo wa Jiji la Mwanza na kwamba wameitendea haki fedha ya Serikali lakini pia wamekamilisha kwa wakati na kazi yao kuwa nzuri hali inayoashiria hakuna hata mwanafunzi mmoja ambaye atachelewa kuanza masomo kutokana na uhaba wa madarasa kwenye halmashauri hiyo ya Jiji.

Dkt. Dugange amesema mkoa wa Mwanza pekee ulipatiwa shilingi Bilioni 20 na milioni 500 kujenga vyumba vya madarasa na mabweni ambayo yanatakiwa kukamilika kabla ya Desemba 30, 2021 hali ukizingatiwa ubora na thamani ya fedha. Aidha, amesema Serikali ilitenga madarasa 12,000 kwa shule za sekondari na madarasa 3,000 kwa shule za msingi (vituo shikizi) ili kuinua kiwango cha taaluma na kufuta machaguo ya kwanza, pili na tatu kama ilivyozoeleka hapo awali.

Amepongeza ubunifu wa kujenga madarasa kwa mtindo wa maghorofa na kutumia mapato ya ndani kwa kuunga mkono juhudi za Serikali za kuboresha elimu kwani kazi za mapato ya ndani ni kutatua changamoto zinazowakabili wananchi.

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi ameipongeza Serikali chini ya Mhe. Rais Samia S. Hassan kutoa fedha nyingi ili kujenga madarasa lakini pia walikabiliwa na changamoto ya ufinyu wa ardhi na ardhi kuwa na mawe na miamba hali iliyopelekea kuamua kujenga maghorofa.

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Sekiete Yahaya akitoa taarifa ya awali amesema kiasi cha fedha walizopata kimejenga madarasa ya shule za sekondari 98 ambapo madarasa 39 ni ya chini na madadasa 64 ni ya maghorofa ili kukabiliana na ufiyu wa nafasi hali iliyopelekea pia Halmashauri ya Jiji la Mwanza kutenga fedha za mapato ya ndani kiasi cha shilingi milioni 755.

Naye Mheshimiwa Diwani Kata ya Pamba amesema wazazi wengi hupenda kuleta watoto wao katika shule ya pamba na hivyo kusababisha msongamano na ndiyo maana Halmashauri ya Jiji wakaamua kutumia mapato ya ndani kuongeza nguvu kwenye ujenzi wa madarasa.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.