Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

SERIKALI HAIJAWEKA ALAMA MPYA ZA MIPAKA, WANANCHI WATAKIWA KUHESHIMU MIPAKA ILIYOWEKWA - WAZIRI KAIRUKI

Imewekwa tar.: May 6th, 2023

OR - TAMISEMI, Tarime

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki ametoa wito kwa wananchi kuheshimu alama za mipaka iliyowekwa  kuonesha maeneo ya vijiji na maeneo ya hifadhi ili kuondokana na migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.

Ameeleza hayo  Mei 06, 2023 wakati akiongea na wananchi wa Kegonga na Kwihancha wilayani Tarime alipoambata na  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeo ya Makazi na Naibu Waziri  Maliasili na Utalii kukutana na wananchi ili kutoa elimu, kukagua mipaka na kutafuta ufumbuzi wa migogoro hiyo katika vijijiji husika.

“Serikali haijabadilisha mipaka wala haijaweka alama mpya nyingine tofauti na zilizokuwepo awali kulingana tangazo la Serikali namba 235 la mwaka 1968, kilichofanyika ni kuweka alama za kudumu kwa kutafsiri kile ambacho tangazo na sheria inavyoelekeza” amesema Waziri Kairuki

Waziri Kairuki ameomgeza, Serikali itaendelea kutoa elimu kwa wananchi kupitia wataalam wa kusoma ramani kwa kutoa tafsiri zaidi juu ya alama za mipaka zilizowekwa ili kuonesha maeneo ya mipaka na maeneo ya shughuli za uhifadhi.

Aidha, Waziri Kairuki ameiagiza Halmashauri ya Wilaya Tarime kwa kushirikiana na Tume ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi kukamilisha mpango wa matumizi ya ardhi katika eneo hilo ambalo lilikuwa limewekewa alama hizo ikiwa ni pamoja na eneo la mita 500 ambazo zimetolewa kwa wananchi kufanya shughuli zinazoendana na uhifadhi.

Waziri Kairuki amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruhusa kwa wananchi waliolima mazao, kuvuna mazao yao pindi yatakapokomaa lakini hawataruhusiwa kulima katika maneo ya ndani ya mipaka ya hifadhi ya Serengeti ambayo yamewekewa alama kwa mujibu wa Sheria.

“Ramani ya mipaka italetwa kwa wananchi ikiwa imetafsiriwa kwa kishwahili ili  mzidi kupata uelewa elimu zaidi ya alama za mipaka, kikubwa zaidi tuendelee kuheshimu kile ambacho kimetolewa kwenye Tangazo na kuheshimu wataalam” amesema Kairuki

Ziara hiyo ya timu ya Mawaziri watatu ya ukaguzi wa alama za mipaka ni utekelezaji wa maelekezo ya Waziri Mkuu kwa timu ya Mawaziri hao kwenda kwenye vijiji husika vyenye migogoro katika Wilaya za Tarime na Serengeti kwa lengo la kukutana na wananchi ili kutoa elimu, ufafanuzi na kutafuta ufumbuzi wa migogoro hiyo katika vijijiji husika.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.