Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

SEQUIP kuwajengea uwezo walimu 40,000 wa masomo ya sayansi na hisabati

Imewekwa tar.: January 6th, 2025

Na Fred Kibano, Kagera

Serikali inaendelea kutoa mafunzo kwa walimu wa sekondari wanaofundisha masomo ya sayansi na hisabati 40,000 ili kuwajengea mbinu, maudhui na matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji shuleni. 

Akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Atupele Ambwene katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 06.01.2025, Mkurugezi wa Idara ya Uratibu na Usimamizi wa Elimu Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Emmanuel Shindika amesema mafunzo hayo yataimarisha mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji wa masomo ya sayansi kwa wanafunzi na walimu pamoja na Wathibiti ubora kufanya tathmini ya masomo hayo hapa nchini.

“Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP imelenga kutoa mafunzo kwa walimu wanaofundisha masomo ya sayansi na hisabati wapatao 40,000. Mafunzo haya yatawezesha walimu kuimarisha mbinu, maudhui na matumizi ya TEHAMA ili kuboresha mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji wa masomo ya hisabati na sayansi” alisema Dkt. Shindika.

Ameongeza kuwa hadi kufikia mwezi Disemba 2024, jumla ya walimu 29,328 wamekwishapatiwa mafunzo hayo ambapo katika awamu hii jumla ya walimu 7,940 Wathibiti ubora wa shule 159 kutoka katika mikoa 18 ya Tanzania Bara watapatiwa mafunzo hayo.

Kwa upande wake Afisa Elimu Mkoa wa Kagera Bw. Michael Ligola akitoa maelezo ya awali amewaasa washiriki kuzingatia mafunzo wanayopewa ili yakawasaidie katika ufundishaji na tathmini lakini pia alisema kwa mwaka 2024 mkoa wa Kagera umeongeza kiwango cha ufaulu ambapo kidato cha sita ufaulu ulikuwa asilimia 100, kidato cha nne (82%), kidato cha pili (72%), darasa la saba (72%) na darasa la nne (84).

Naye Mratibu Msaidizi Mradi wa SEQUIP Bw. Richard Makota amesema matarajio baada ya mafunzo ni kuwa na ufaulu mzuri wa masomo ya sayansi na hisabati, kuongeza matumizi ya TEHAMA shuleni katika ufundishaji na ujifunzaji, kuongezeka kwa umahiri wa mwalimu katika masomo hayo na ongezeko la wanafunzi katika elimu ya sekondari ya juu, vyuo vya kati na elimu ya juu katika masomo yanayoambatana na sayansi na hisabati.

Mafunzo hayo ya siku tano yanayotolewa kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari unaotekelezwa na SEQUIP kwa pamoja kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yana lengo la kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia katika shule za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita kwa muda wa miaka mitano kuanzia 2021 hadi 2026.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.