Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

RHMT & CHMT ZATAKIWA KUPITIA TAKWIMU ZA UTOAJI WA CHANJO

Imewekwa tar.: October 24th, 2024

OR - TAMISEMI

Mkurugenzi wa Idara Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais - TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amezihimiza timu  za usimamizi wa shughuli za Afya ngazi ya Halmashauri (CHMT) na mkoa (RHMT) nchini  kuwa na utaratibu wa kufanya vikao vya kila mwezi kupitia takwimu za utoaji wa huduma za Chanjo ili kubaini mapungufu na  kuchukua hatua stahiki.

Dkt. Mfaume ametoa rai hiyo mkoani Tabora wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya usimamizi shirikishi na ufuatiliaji wa huduma za Chanjo na mikakati  ya kudhibiti na kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika Mikoa ya Katavi na Tabora. 

Dkt. Mfaume amesema Tabora na Katavi ni miongoni mwa mikoa ambayo imekuwa na kiwango kisichoridhisha cha utoaji wa huduma za chanjo, hali inayochangia baadhi ya walengwa wa chanjo kutofikiwa, na kuwepo kwa hatari ya milipuko wa magonjwa yanayozuilika kwa Chanjo.

" 'Ume-plan' kufanya 'outreach' 30 kwa robo mwaka unafanya 'outreach' moja unasitisha 29 na hakuna sababu za msingi,  Suala hili linachangia kwa kiwango kikubwa baadhi ya walengwa kutofikiwa na huduma za Chanjo, hii haikubaliki''. amesema

Ziara hii mahsusi imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa kiwango cha huduma za Chanjo katika Mikoa hiyo sambamba na kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa kuaharisha na kutapika lakini pia kuangalia maandalizi ya Mikoa hiyo kukabiliana na magonjwa ya kuambukiza.

Akisisitiza hilo Dkt. Mfaume amesisitiza waratibu wa chanjo na CHMT kuwajibika na kuacha kutafuta utetezi na sababu zisizo na mashiko zinazochangia hali isiyoridhisha ya utoaji wa chanjo kwa wananchi. Aidha amewaomba wazazi na walezi  kuhakikisha watoto wao wanakamilisha ratiba  za Chanjo ili kuwakinga dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa chanjo.

Kwaupande wake Bi.Joseline Ishengoma Mratibu wa huduma za chanjo kutoka Ofisi ya Rais - TAMISEMI amesema vituo vingi ambayo vimefanyiwa usimamizi havitoi huduma za chanjo ipasavyo hali inayoweza kupelekea kushuka kwa kinga jamii dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa Chanjo na kusababisha hatari ya milipuko ya magonjwa yanayozuilika kwa chanjo, hivyo amewasihi wasimamizi ngazi ya Halmashauri na Mikoa kuongeza juhudi katika kusimamia huduma hizo.

Akizungumza kwa niaba ya Shirika la Afya Ulimwenguni  (WHO) Ofisi ya Tanzania, Dkt. William Mwengee  amesema Shirika hilo litaendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha  huduma za  Chanjo zinatolewa kwa ufanisi Nchini.

Ziara hiyo ya usimamizi shirikishi na ufuatiliaji imehusisha wataalamu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI wakiongozwa na mkurugenzi Dkt. Rashid Mfaume kwa kushirikiana na Timu za usimamizi wa shughuli za Afya za Mikoa na Halmashauri,  wadau wa maendeleo ambao ni shirika la Afya ulimwenguni (WHO) na Shirika la Jhpiego kupitia mradi wa  USAID Afya yangu Mama na Mtoto.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.