Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KM 40 MUFINDI, IRINGA

Imewekwa tar.: August 11th, 2022

OR - TAMISEMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  ameweka Jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Sawala - Mkonge - Iyegera - Lulanda yenye urefu wa Kilometa 40.7 inayojengwa kwa kiwango cha Lami katika wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa. Leo 11 Agosti, 2022

Ujenzi wa barabara  hiyo unatekelezwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini Tanzania (TARURA) chini ya mkandarasi Hematec Inverstment Ltd na G'S Contructors Co Ltd.

Rais Samia amesema katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali imeongeza Bajeti ya TARURA ili kujenga barabara vijijini na kuwezesha wakulima kufikisha mazao yao katika masoko kwa wakati.

Aidha, Rais Samia amepongeza amepongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara  vijijini na Mijini (TARURA)  Mhandisi Victor Seff kwa kuendelea kusimamia vizuri miradi na fedha zote zinazopelekwa katika taasisi hiyo.

Ametoa wito kwa wanachi kuendelea kulipa kodi ili kuiwezesha Serikali kuendelea kuleta fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza miradi na kutatua kero za wananchi kwa wakati.

Akisoma taarifa ya ujenzi wa barabara hii Eng. Victor Seff amesema Barabara hiyo ni mojawapo ya barabara zilizochaguliwa chini ya Programu ya Agriconnect awamu ya kwanza kwa Wilaya za Kilolo (km 18.3) na Mufindi (km 30.3) kwa Mkoa wa Iringa zenye jumla ya km 48.6 na Mbeya vijijini (km 26.8) na Rungwe (km 12.2) kwa Mkoa wa Mbeya km 38.4.

Kilometa 30.3 kati ya km 40.7 zimeshawekwa tabaka la lami nyepesi na usanifu wa sehemu iliyobaki ya km 10.4 unaendelea na utakamilika Mwezi Oktoba 2022. Utekelezaji wa Sehemu iliyobaki utafanyika mwaka wa fedha 2023/24.

Jumla ya Shilingi 8,764,569,42.60 zimeshalipwa ambapo sehemu ya kwanza zimelipwa Shilingi 4,102,690,807.60 na sehemu ya pili zimelipwa Shilingi 4,661,878,613.

Mradi huu wa kimkakati una lengo kusaidia wakulima vijijini katika kuongeza/ kuimarisha Mnyororo wa thamani ya mazao yao hasa mazao ya Mbogamboga, Kahawa, Chai na mazao mengine yanayohitaji kusafirishwa kwa haraka toka Mashambani au katika maeneo ya uzalishaji hadi kufika Viwandani au katika masoko pasipo kupoteza ubora wake.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • GEITA YAENDELEZA UBABE KIKAPU WASICHANA

    June 12, 2025
  • MWANZA YAIADHIBU PWANI SOKA MAALUMU WASICHANA

    June 12, 2025
  • SANAA ZA MAONESHO ZAANZA RASMI UMITASHUMTA 2025 MKOANI IRINGA

    June 11, 2025
  • KILIMANJARO, RUVUMA NA NJOMBE MABINGWA RIADHA MAALUMU UMITASHUMTA 2025

    June 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.