• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
    • Machaguo Kidato cha 5 & Vyuo

OR-TAMISEMI yatoa siku 20 kwa Waganga Wakuu wa mikoa

Imewekwa tar.: June 12th, 2022

OR-TAMISEMI

NAIBU Katibu Mkuu (Afya) Ofisi ya Rais-Talawa za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt.Grace Magembe amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa kuhakikisha ujenzi wa miundombinu unaotekelezwa katika vituo vya kutolea huduma za afya uwe umekamilika ifikapo  Juni 30,2022 huku ubora ukiwa umezingatiwa.

Dkt. Magembe amebainisha kuwa, bado usimamizi na ufuatiliaji katika baadhi ya mikoa na halmashauri unasuasua, hivyo Sekretarieti za Mikoa zina wajibu wa kusimamia utekelezaji huo na kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kwa wakati.

Pia amewataka kushirikiana na Waganga Wakuu wa Halmashauri katika kuhakikisha ujenzi huo unakamilika sio zaidi ya tarehe 30 Juni, 2022.

Dkt. Grace ametoa rai hiyo Juni 10,2022  katika Kikao kazi cha Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Waganga Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Afya wa Mikoa jijini Dodoma.

Amesema, ni muhimu sana kuimarisha usimamizi katika utekelezaji huo kwa kuwa Serikali inatarajia kusambambaza vifaa tiba vitakavyotumika katika majengo hayo ambayo asilimia kubwa bado yapo katika hatua ya utekelezaji.

Dkt. Grace amesema,  anatarjia vifaa hivyo vitakapofika majengo hayo yawe yamekamilika tayari kwa kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

“Tunatarajia kuanza kusambaza vifaa katika vituo ambavyo vinajengwa ni muhimu sana mkasimamie hii miradi imalizike kwa wakati ili sasa vifaa vitapokuja vikute tayari ujenzi umekamilika sio vifaa vinaletwa vinakaa nje kusubiri majengo yaishe hatutakubali vifaa viharibiwe,”amesema Dkt.Grace.

Kwa upande mwingine, Dkt. Magembe amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa kuziandikia barua halmashauri ambazo zilifanya mabadiliko ya miradi au matumizi ya fedha ya ujenzi wa miundombinu ya Afya bila kutoa taarifa katika ngazi ya Mikoa ziwasilishe sababu ya kufanya mabadiliko hayo ili OR-TAMISEMI iwe na taarifa kamili ya mabadiliko,  lakini pia kuondoa hoja za ukaguzi.

Aidha,  amewataka Waganga Wakuu na Makatibu Afya wa Mikoa kuhakikisha wanafanya usimamizi shirikishi katika mikoa yao hususan katika ukaguzi wa dawa, vitendanishi na vifaa tiba pamoja na kusimamia utolewaji wa huduma bora katika kila kituo cha kutolea huduma za Afya zoezi litakalopelekea kuboreshaji wa huduma za Afya katika maeneo yao.



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.