Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Wadau wa malezi na makuzi wakutana Morogoro kujadili ujenzi wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana

Imewekwa tar.: November 1st, 2024

Na OR TAMISEMI

Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Shirika la kuhudumia Watoto ulimwenguni UNICEF imewakutanisha Wadau wa Malezi na Makuzi nchini kwa ajili ya kujadili na kutoa maoni juu ya michoro na makadirio ya gharama za ujenzi wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana.

Akifungua kikao kazi hicho kilichofanyika mkoani Morogoro Oktoba 29, 2024 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bw. Amon Mpanju amewataka washiriki kutilia mkazo wa maeneo ya ujenzi wa vituo hivyo kuwa yenye uhitaji na ambayo ni rahisi kufikika, ili vituo hivyo viwe na tija kwa jamii husika.

Ujenzi wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipotembelea ujenzi wa Mji wa mtumba na kushauri kijengwe kituo maalum kwa ajili ya kulelea watoto wa watumishi wa serikali watakao kuwa wanafanya kazi mchana katika ofisi hizo.

Kama sehemu ya kutoa hamasa ya ujenzi wa vituo hivyo sehemu mbalimbali hapa nchini, Rais Dkt. Samia alitoa kiasi cha fedha cha shilingi Bilioni tatu, ili kisaidie kuanza utekelezaji wa agizo hilo , lakini ujenzi huo haujaanza mpaka sasa kutokana na ukosefu wa mwongozo maalum wa namna ya kujengwa kwa vituo hivyo.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Msaidizi huduma za Ustawi wa Jamii, Ofisi ya Rais -TAMISEMI Bi. Subisya Kabuje, kukamilika kwa michoro hiyo pamoja na makadirio ya gharama za ujenzi wa vituo hivyo kunatoa taswira mpya kwa wadau, na wawekezaji ambao wangetamani kujenga katika maeneo mbalimbali nchini, ambapo sasa wataruhusiwa kujenga kwa kufuata mwongozo utakaotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI baada ya mchakato wa kukusanya maoni na kufanya maboresho ya michoro na gharama za ujenzi unaoendelea sasa kuwa umekamilika.

Kwa upande wao UNICEF ambao ni washirika wakuu katika utekelezaji wa lengo hilo wamesema uzoefu wao katika nchi zenye vituo vya kulelea watoto mchana , vituo hivyo vimeonekana kuwa na matokeo chanya hasa katika kubaini vipaji vya watoto na kuvikuza tangu wakiwa wadogo.

Mwakilishi wa UNICEF katika mkutano huo Bw. Patrick Kodjia ambaye ni mtaalam wa lishe amenukuliwa akisema “Ujenzi wa vituo hivyo hapa nchini , si tu vinatoa mazingira ya ulinzi kwa mtoto, lakini vinawawezesha wanawake wengi kuwa na muda wa kutosha wa kushiriki kwenye shughuli zao za kiuchumi bila wasiwas juu ya usalama wa Watoto wao”

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.