Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Nyamhanga azitaka Halmashauri Kuongeza kasi ya Ukusanyaji wa Mapato

Imewekwa tar.: February 12th, 2020

Serikali imezitaka halmashauri zote kukusanya mapato yao ya ndani na kupanga matumizi mazuri ya fedha za Serikali ambazo zinatokana na ruzuku ya Serikali, miradi ya maendeleo na fedha za ndani katika halmashauri husika.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanaga  ametoa kauli hiyo wakati akiongea na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Chato na kisha kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa mpaka kwenye halmashauri hiyo.

Mhandisi Nyamhanga amesema halmashauri hazina budi kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani badala ya kutegemea fedha za ruzuku ya Serikali kutoka Serikali Kuu lakini pia kupanga matumizi mazuri ya fedha hizo kama yalivyopangwa kwenye bajeti zao ikiwa ni pamoja na fedha za miradi ya maendeleo na zile za Serikali Kuu.

Amesema jumla ya mashine za kielekitroniki 7,227 zimemesambazwa kwenye halmashauri mbalimbali nchini kwa ajili ya kuboresha ukusanyaji wa mapato, ugawaji uliokwenda sambamba na uwezo wa halmashauri katika kukusanya mapato na mkoa wa Geita ulipata mashine hizo 25.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Chato Eliud Mwaitekeleke hadi kufikia Desemba 2019 halmashauri ilikuwa imekusanya asilimia 49.04 na mwezi Januari, 2020 wamefikia asilimia 50.

Wakati huo huo Nyamhanga amekagua ujenzi wa kituo cha mabasi makubwa na madogo cha Chato kinachogharimu shilingi Bilioni 6.1, mradi unaojengwa na Mkandarasi M/S Mayanga Contractors Co. Ltd wa Jijini Mwanza na kuagiza Mradi huo ukamilike kwa wakati na kuacha kuweka visingizio vya hali ya hewa (mvua).

“kupitia mradi huu wa kimkakati utasadia kuongeza uwezo wa halmashauri katika kuongeza mapato hivyo ukamilike kwa wakati mwezi machi kama ilivyokuwa imepangwa”    

Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi wa halmashauri ya Chato, Meneja wa TARURA Chato Mhandisi Chacha Petro amesema hali ya mvua na kuchelewa kwa kubuni michoro ni baadhi ya changamoto zilizochelewesha mradi huo kuendelea.

Mwananchi wa Chato Bahati Petro amesema mradi huo ni mzuri na wa mafanikio utawasaidia wananchi kupata ajira na kuboresha usafiri hasa sehemu ya kupaki na kupanda magari kwa wasafiri na wananchi.

                    Anaandika Fred Kibano


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO

    June 14, 2025
  • MANYARA NA MWANZA MABINGWA RIADHA MITA 800 

    June 14, 2025
  • HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU  KATIKA KUANDAA MIRADI YA MAENDELEO- ADOLF NDUNGURU 

    June 13, 2025
  • WAVU KWAENDELEA KUNOGA UMITASHUMTA

    June 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.