Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

NDEJEMBI AWAAGIZA MAAFISA ELIMU KUSIMAMIA UJENZI WA MIRADI YA ELIMU USIKU NA MCHANA

Imewekwa tar.: June 23rd, 2023

Na. James Mwanamyoto-OR TAMISEMI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) amewaagiza Maafisa Elimu Mikoa na Maafisa Elimu Sekondari wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa miradi ya elimu usiku na mchana ili ikamililike ifakapo Agosti 2023 na kuwawezesha  wanafunzi wa kidato cha tano kupata miundombinu bora ya elimu.

Mhe. Ndejembi ametoa maelekezo hayo leo mkoani Tabora wakati akifungua Kikao kazi cha Maafisa Elimu Mikoa na Maafisa Elimu Halmashauri cha Tathmini ya Utekelezaji wa shughuli za elimu kwa mwaka 2022/23.

Amesema Serikali kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R) imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 7.5 kwa ajili ya ujenzi wa mabweni, vyumba vya madarasa na Matundu ya vyoo katika Shule za Sekondari za Kidato cha Tano na Sita. 

“Tumtie nguvu Rais wetu Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia utekelezaji wa miradi hiyo usiku na mchana na kuhakikisha inakamilika ili wanafunzi wa kidato cha tano watakaoripoti shuleni wawe na miundombinu ya kutosha kulingana na idadi yao”  Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Mhe. Ndejembi amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI haitamfumbia macho yeyote atakashindwa kusimamia na kukamilisha miradi hiyo ifikapo mwezi Agosti 2023, kwani atakuwa ameshindwa kutekeleza wajibu wake kikamilifu.

Aidha, Ndejembi amesema Serikali kupitia mradi wa SEQUIP imetoa shilingi bilioni 21.18 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu katika shule mpya 212 za Sekondari za Kata pamoja na Shilingi Bilioni 48 kujenga Shule za Wasichana za Bweni za Mikoa katika mikoa 16.

Sanjari na hilo, amewataka Maafisa Elimu kufuata taratibu zilizobainishwa katika kusimamia shughuli zote za Elimu ipasavyo ikiwemo ujenzi wa shule mpya na miundombinu inayojengwa katika maeneo yao.

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Charles Msonde amesema katika Kikao kazi hicho watajadili kwa kina kuhusu namna bora ya usimamimizi na Utekelezaji wa miradi elimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili ikamilike na kuleta tija kwa wananchi na maendeleo ya taifa.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Msovela: Fanyeni Kazi Kama Timu Kuleta Maendeleo

    May 20, 2025
  • SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA VITUO VYA AFYA.

    May 19, 2025
  • MAKATIBU TAWALA WASAIDIZI WAPEWA SOMO USIMAMIZI WA MIRADI NA USULUHISHI WA AKAUNTI

    May 19, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.