Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

NDEJEMBI AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA LENJULU YA SEQUIP NA KUIPONGEZA HALMASHAURI KWA USIMAMIZI MZURI

Imewekwa tar.: April 25th, 2023

OR - TAMISEMI 

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Deogratius J. Ndejembi (Mb) ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa kusimamia kikamilifu fedha za ujenzi wa shule mpya ya Kata ya Lenjulu ambayo majengo yote yamekamilika na wanafunzi wanaendelea na masomo.

Ameyasema hayo leo tarehe 25 Aprili, 2023 wakati akikagua ujenzi wa shule shule mpya ya Lenjulu katika Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma uliogharimu shilingi milioni 470 kupitia Mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP).

“Napongeza uongozi wa Wilaya Kongwa kwa usimamizi mzuri wa shilingi milioni 470 iliyotolewa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kujenga shule hii mpya na kuhakikisha inakamilika, sisi tunachukua mfano huu mzuri wa shule ya Lenjulu ili tuweze kupeleka na maeneo mengine” amesema Ndejembi

Ndejembi amesema Wilaya ya Kongwa ni moja ya Halmashauri iliyosimamia vizuri ujenzi wa shule hizo zilizojengwa katika Halmashauri zote nchini na imehakikisha majengo yote yanakamilika ikiwa ni pamoja na maabara zote tatu na chumba cha TEHAMA.

Aidha, Ndejembi amewataka wazazi na wananchi wa kata ya Lenjulu kuhakiksha wanafunzi wanafika shule na kuondokana na utoro na mdondoko wa wanafunzi shuleni pamoja na kutunza miundombinu ambayo Serikali imejenga ili kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu ya Sekondari katika maeneo ya karibu.

Kadhalika, amewakikishia kuwa Ofisi ya Rais -TAMISEMI itahakikisha inaongeza walimu kupitia kibali cha ajira mpya 21,200 kilichotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mwezi huu, ambapo nafasi za kada ya ualimu ni 13,130.

Ndejembi amemuagiza Mkurugenzi Halmashauri ya Kongwa kuhakikisha anafuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha maji yanafikishwa katika shule hiyo ili wanafunzi wasipate adha ya kwenda kuchota maji mbali na maeneo ya shule.

Ofisi ya Rais - TAMISEMI kupitia Mradi wa kuboreshaji wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) ilitoa shilingi milioni 470 ya ujenzi wa shule mpya ya Kata kwa kila Halmashauri kwa ajili ya kujenga vyumba vya madarasa 8, jengo la utawala 1, maabara 3, maktaba 1, chumba cha TEHAMA 1, matundu ya vyoo 20 (wasichana 10 na wavulana 10), ununuzi wa tenki la maji 1, ujenzi wa miundombinu ya kuvuna maji na kunawa mikono.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Msovela: Fanyeni Kazi Kama Timu Kuleta Maendeleo

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.