• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Mweli awatega Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu kwenye Mfumo wa PREM/PREMS.

Imewekwa tar.: January 10th, 2021

Na Atley Kuni, Bariadi- SIMIYU

Naibu Katibu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (anayeshughulikia Elimu), Bw. Gerald Mweli, amewaweka katika Sintofahamu ya kupata fedha za Elimu bila malipo, walimu Wakuu na Wakuu shule wote nchini watakaoshindwa kuingiza taarifa za wanafunzi kwenye Mifumo ya kusajili wa wanafunzi ili kuwatambua kwa majina na mahali kata ilipo na  Shule wanazosoma.

Akizungumza katika kikao cha pamoja na Waratibu Elimu kata, Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, amesema imefika wakati taarifa zote za wanafunzi ziwepo kwenye Mfumo na kushindwa kufanya hivyo ni kuihujumu na kugomea maelekezo ya Serikali.

"Nililisema hili nikiwa wilayani Ukerewe, narudia tena hapa Bariadi, shule zitakapofunguliwa tarehe 11 Januari, 2021. Watoto wote wawe wamesajiliwa, kinyume na hapo Serikali haitatoa fedha za Elimu bila Malipo". Amesema Mweli

Mifumo ya PREM/PREMS ina uwezo wa kumtambulisha Mwanafunzi kwa majina yake, Shule anayosoma pamoja na picha yake, Aidha Mfumo unauwezo wa kurahisisha zoezi la uhamaji kwa wanafunzi kutoka Shule moja kwenda nyingine.

Mweli amesema, faida ya uwepo wa Mifumo mbalimbali imewezesha masuala ya Uhamisho lakini pia imesaidia kupunguza uwepo wa wanafunzi hewa.

"Katika kipindi cha huko nyuma kabla ya uwepo wa Mifumo, tulikabiliwa na kadhia ya uwepo wa wanafunzi hewa lakini tangu tuanze kutumia Mifumo suala hilo sasa limekuwa historia na litaendelea kuwa historia tutakayoizika kwenye kaburi la sahau". Amesisitiza Mweli.

Katika hatua nyingine, Naibu katibu Mkuu Mweli, amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya TEHAMA kwakuwa imeonesha kuwa na tija na ufanisi uliotarajiwa

"Kama Serikali tunajitahidi kwenda na mahitaji ya wakati, huko nyuma tulikuaa tukipokea Madeni mengi ya watumishi walimu, lakini mwaka huu tumekuja na mfumo wa MadeniMIS,  mfumo huu tayari umeanza kufanya kazi na sasa mnautumia, lengo letu likiwa ni kwenda kwa watumishi wote wa umma, lakini tumeanza na walimu kwakuwa ndio wanaobeba idadi kubwa ya watumishi takriban ni asilimia 71 ta watumishi wote." alisema Mweli, na kuongeza kuwa, kutokana na somo walilopata kwakuombwa viambata mara kwa mara ndio maana wakaamua kuja na suluhu yakudumu" alisisitiza Mweli.

Mfumo wa MadeniMIS  utamwezesha Mtumishi kufatilia na kutambua hatua mbali mbali za deni lake lilipofikia, lakini pia kuwa na umadhubuti katika kutunza nyaraka mbali mbali kwa umakini mkubwa, lakini kuepusha kuombwa viambata mara kwa mara.

Naibu Katibu Mkuu yupo katika ziara ya kikazi kukagua shughuli mbali mbali za kielimu lakini pia kuzungumza na watumishi wa Kada hiyo kwa lengo la kujua fursa na changamoto walizonazo.

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.