Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Mtaala Mpya utafanya wahitimu kuwa na ushindani Duniani – Balozi Charlotta Marcias

Imewekwa tar.: November 21st, 2024

Na Fred Kibano, Mara

Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mheshimiwa Charlotta Ozaki Marcias ameiasa Serikali ya Tanzania kuendelea kufanya maboresho ya elimu hususani mitaala ili kuhakikisha wanafunzi wanaopitia katika Mfumo huo wanakuwa wavumbuzi, wataalam wabobezi na Viongozi wa Taifa lijalo.

Mheshimiwa Marcias ameyasema hayo leo tarehe 21 Novemba, 2024 Manispaa ya Musoma mkoani Mara wakati wa ziara yake ya kujionea maendeleo ya miradi ya GPE LANES II na Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R) inayofadhiliwa na baadhi ya nchi za Umoja wa Ulaya zikiwemo Sweden na Uingereza.

“nahimiza Serikali ya Tanzania kutenga walau asilimia 20 ya bajeti ya Taifa kwenye elimu ili kusaidia kufanya maboresho muhimu hususani mtaala. Kwa kuelimisha watoto wa leo, tutakuwa tunatengeneza nguvu kazi ya kesho ambayo itasaidia ukuaji wa uchumi, maendeleo ya kijamii na ushindani Duniani” alisema Mheshimiwa Charlotta Marcias.

Akitoa neno kabla ya kumkaribisha Mheshimiwa Balozi Charlotta Marcias, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Kanali Evans Mtambi alisema Mkoa wa Mara unafarijika kuwapokea wageni hao kwani wamekuja kujionea msaada waliowapatia watu wa Mkoa wa Mara lakini amewahakikishia Wadau hao kuwa wamekuwa wanatumia fedha zinazotolewa zinatumika kama ilivyopangwa na wataendelea kufanya hivyo kulinda thamani ya fedha.

Aidha, amesema Sera nzuri ya diplomasia anayoifanya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa na uhusiano mzuri na mataifa mengine ndiyo matunda yake lakini pia amewaalika Wadau hao na wengineo kwenda kuwekeza mkoani humo kwani kuna vitu vingi vya kuwekeza.

Balozi Charlotta Marcias ametembelea Kituo cha Walimu (TRC) Mwembeni Kata ya Mwigobero kilichokarabatiwa na kuwekwa samani kwa shilingi 22,000,000 kwa fedha za GPE LANES II na kupatiwa vifaa mbalimbali vya TEHAMA pia alitembelea shule ya sekondari ya ufundi Musoma iliyopatiwa shilingi 75,000,000 ambazo zilitumika kujenga madarasa mawili na kuweka samani.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Mahera Wilson Charles alisema Wizara yake imefanya maboresho ya mtaala mpya lengo likiwa ni kuhakikisha Watoto wote wa kitanzania wanasoma katika mazingira mazuri hivyo uwepo wa Wadau hao ni muhimu katika kuunga mkono juhudi za Serikali kufikia malengo yake.

Naye Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia Elimumsingi ofisi ya Rais TAMISEMI, Suzan Nussu ambaye amemwakilisha Naibu Katibu Mkuu (ELIMU) Atupele Mwambene amewashukuru Wafadhiri hao kwa kuendelea kujitoa kuunga jitihada za Serikali katika kuboresha elimu nchini hususani miradi ya GPE LANES II na Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R).

Mkoa wa Mara ulipokea fedha za kujenga miundombinu mbalimbali shilingi 4,512,786,000 (EPforR) tangu 2019/2020, shilingi 2,717,795,040 (GPE LANES II) na mwaka 2024/2025 unatarajia kupokea shilingi 3,399,600,000 (GPE TSP) kwa ajili ya Kuboresha Kada ya Ualimu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.