Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

MPANGO WA SHULE SALAMA MWAROBAINI WA MDONDOKO WA WANAFUNZI

Imewekwa tar.: August 19th, 2024

Na OR-TAMISEMI

Naibu Waziri anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katiba amesema Serikali imekuja na Mpango wa Shule Salama kwa shule za Msingi na Sekondari ambao no shirikishi na jamaii ili kudhibiti mdondoko wa wanafunzi.

Mhe. Katimba ameyasema hayo wakati akifunga mafunzo kwa Wenyeviti wa Bodi za Shule za Sekondari, Maafisa Maendeleo ya Jamii ngazi ta Kata pamoja Maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii ngazi ya Mkoa kuhusu Mpango wa Shule Salama na Usimamizi wa Usalama wa Jamii katika chuo cha Patandi mkoani Arusha leo tarehe 18.08.2024.

Amesema Serikali imekwishafanya jitihada  za kudhibiti mdondoko wa wanafunzi ikiwa ni pamoja kutoa Elimu bila Ada ili kupunguza vikwazo katika uandikishaji wa wanafunzi, kujenga shule za Msingi na Sekondari karibu na makazi ya wananchi ili kupunguza adha kwa wanafunzi kutembea umbali mrefu, Kuimarisha mifumo ya utambuzi wa wanafunzi ambao wapo kwenye hatari ya kuacha shule, Kuimarisha utaoaji wa huduma na ushauri na unasihi pamoja na  Kuandaa Mwongozo wa kuwarejesha Shule Wanafunzi walioacha Shule.

Mhe. Katimba ameongeza kuwa pamoja na jitihada hizo changamoto ya mdondoko wa wanafunzi katika Shule za Msingi na Sekondari haijakwisha kabisa. Kasi ya kupungua kwa idadi ya wanafunzi wanaocha shule imepungua ila haijakwisha kabisa. 

“Uchambuzi wa sababu za kutokwisha kwa mdondoko wa wanafunzi unaonesha kuwa mazingira yasiyo salama kwa wanafunzi wakiwa shuleni na wakati wa kwenda na kurudi shuleni yanachangia kwa kiasi kikubwa kutokushuka kwa kiwango cha mdondoko wa wanafunzi”.

Ili kuweka mazingira ya shule yaliyosalama Serikali iliona ni vyema kuja na mkakati mpya unaojulikana kama Mpango wa Shule Salama katika Shule za Msingi na Sekondari nchini.

Serikali imedhamiria kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji kwa Kuimarisha ushiriki wa wazazi/walezi na Jamii katika kusimamia ufundishaji na ujifunzaji pamoja na mahudhurio ya wanafunzi’.

Kuimarisha mifumo ya kupokea na kushughulikia malalamiko ya wanafunzi katika Elimu ya Msingi na Sekondari na

Kuimarisha utoaji wa huduma ya Chakula na Lishe kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Msovela: Fanyeni Kazi Kama Timu Kuleta Maendeleo

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.