Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Mhe. Bashungwa atatua mgogoro wa Chemba

Imewekwa tar.: June 4th, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa ameitaka halmashauri ya Chemba kujenga umoja na mshikamano katika kutekeleza ilani ya CCM na kuachana na migogoro ambayo haina Tija kwa mustakabali wa maendeleo ya Halmashauri hiyo.

Hayo ametasema wakati wa ziara yake Wilayani humo kuzungumza na Uongozi kuhusu changamoto za Halmashauri hiyo pamoja na kukagua miradi ya maendeleo.

" Nimekuja hapa Chemba kukaa na nyiekabla mambo hayajaharibika nimekuja kuwasikilinza kwanini mnagombana,  kwanini mnavutana, je mnajua mivutano hii inakwamisha utekelezaji wa ilani ya CCM na je mko tayari kumwangusha Mheshimwa Rais katika kutekeleza ilani.?"

Alisema katika kikao cha ndani walichoketi na viongozi wa pande zote wamejadiliana mwenendo wa utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi ndani ya wilaya ya Chemba na kutoa maelekeo mzuri katika kutekeleza jambo hilo.

" Kamati ya siasa ni chambo kikubwa ndicho kinasimamia Serikali kwa maana ya halmashauri, Serikali ya wilaya, kumekuwa na changamoto ambazo baada ya kukaa tumeona tumezijadili, tumezipa maelekezo mazuri."

" Ninachowaomba waheshimiwa madiwani hii halmashauri ni ya kwenu, halmashauri inaongoza na baraza la madiwani, utekelezaji wa ilani ya CCM bila baraza la madiwani imara utekelezaji wake unayumba, hili jambo sitaki kulisikia hapa tena."

Amesema wataalamu wakiwa kasikazini na Baraza la Madiwani likiwa kusini hamuwezi kujadili vipaumbele vya maendeleo, kwa hiyo tumegundua jambo hilo ndio changamoto kubwa ndani ya Chemba."

" Sisi serikali inayosimamiwa na chama chetu (CCM) hatutaruhusu hiyo hali.  Kwa hivyo kwenye kikao cha ndani tumekubalina namna ya kuisimamia hii Halimashauri na kujenga umoja na mshikamano, waheshimiwa madiwani pamoja na CMT ikiwa na maaana ya wataalamu."

Aidha alimwelekeza Mkuu wa Mkoa, Anthony Mtaka kusimamia suala la kuwajengea uwezo viongozi wa halmashauri hiyo ambayo itasaidia kila mtu kujua wajibu wake.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: HAKUNA FURSA KWA WANAFUNZI KUBADILI SHULE WALIZOPANGIWA

    June 06, 2025
  • RC SERUKAMBA AMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA KWA KUIPA IRINGA UWENYEJI WA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025

    June 06, 2025
  • SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI – PROF. NAGU

    June 06, 2025
  • WALIMU NCHINI WATAKIWA KUTUMIA TAALUMA ZAO KULETA MAPINDUZI YA KIMAENDELEO

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.