Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Mhandisi Nyamhanga apongeza ujenzi wa wodi ya wazazi Mvomero

Imewekwa tar.: March 15th, 2020

Na. Angela Msimbira Mvomero

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi  Joseph Nyamhanga ameupongeza  uongozi  wa Mkoa wa Morogoro kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa wodi ya Wazazi  iliyojengwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro.

Ameyasema hayo leo wakati alipofanya ziara katika Hospitali hiyo ambayo ilipatiwa shilingi milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa wodi hiyo ili kuongezea baadhi ya miundombinu kutokana na uhitaji mkubwa wa Hospitali hiyo.

Mhandisi Nyamhanga  amesema kazi iliyofanyika ni nzuri kulingana na fedha zilizotolewa kuakisi  uzuri wa  jengo hilo ambalo  kwa sasa limeanza  kutoa  huduma kwa wananchi wanaozunguka eneo hilo na wale wa  jirani  jambo ambalo lilimepunguza changamoto kubwa ya wananchi kupata huduma hiyo mbali na maeneo yao

 “Serikali ilitoa shilingi milioni 500 kwa  ajili ya kuongeza miundombinu katika  hospitali hii baada ya kuona majengo yaliyopo hayatoshi hivyo kinachotakiwa kwa hivi  sasa ni kuongeza vifaa na vifaa tiba  ili wananchi waweze kupata huduma bora  na zenye viwango vya Hospitali ya Wilaya” Amesisitiza Mhandisi Nyamhanga.

Amesema Serikali itahakikisha inaweka  vifaa na vifaa tiba vinapatikana kwa wakati ili jengo la wodi ya wazazi lililokamilika na kuanza kutoa huduma liwe na vifaa vyote vinavyohitajika  ili kuweza kuwasaidia  wakinamama wajawazito wanaokuja kupata huduma katika Hospitali hiyo.

Amesema kuwa Serikali katika mwaka wa fedha 2019/2020 imetenga shilingi milioni 500 kwa ajili ya kuongeza miundombinu  kwenye   Hospitali ya Wilaya  zote nchini, hivyo ameutaka uongozi huo kuhakikisha wanasiamami fedha  hizo ili ziweze kutumika katika kazi iliyopangwa na majengo hayo yaweze kukamilika  kabla ya tarehe 30,juni,2020.

Mhandisi Nyamhanga amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia huduma zinazotolewa kwa wananchi katika Hospitali za Wilaya na Vituo vya kutolea huduma ili wananchi waweze kuvutiwa na  huduma za afya zinazotolewa na Serikali.

Hata hivyo Nyamhanga amesisitiza kuwa  Serikali inatumia fedha nyingi kwa ajili ya kununua dawa kwa ajili ya  Vituo vya Afya na Hospitali lakini bado kuna upotevu wa dawa katika vituo hivyo, Nawaagiza kuhakikisha mnasiamamia kwa weledi upotevu wa dawa ili kupunguza changamoto ya upungufu wa dawa katika vituo vya kutolea huduma

“Simamieni watumishi wenu wa kada ya afya waweze kutoa huduma bora za afya, pia kupunguzeni  tatizo la wizi wa dawa kwenye vituo vya kutolea huduma jambo hili linarudisha nyuma juhudi za Serikali za kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya.

Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Mhandisi Emmanuel Kalobelo ameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kusema wataendelea kutekeleza maagizo ya Serikali na  Mkoa wamejipanga kukamilisha kazi za ujenzi wa hospitali za wilaya ya mvomero ili kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Naye Mkurugezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Florent Kyombo amesema kuwa ujenzi wa wodi ya wazazi  umekamilika   na kuanza kutoa huduma ya  kujifungua tangu januari, 2020 na mpaka sasa   wakinamama 25 wamepatiwa huduma hiyo.





Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA KUFANYIA BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA  

    June 02, 2025
  • Serikali yatoa Tsh. bilioni 30 kuwezesha ujenzi wa vituo vya afya kata za kimkakati

    June 02, 2025
  • SANAA ZA MICHEZO ZINAPEWA KIPAUMBELE KATIKA UMITASHUMTA & UMISSETA 

    June 02, 2025
  • UMITASHUMTA & UMISSETA 2025 KUFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA.

    May 31, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.