• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Mara mshindi wa Jumla UMITASHUMTA 2021

Imewekwa tar.: June 18th, 2021

Na Mathew Kwembe, Mtwara.

Mkoa wa Mara umefanikiwa kuwa mshindi wa jumla wa mashindano ya 25 ya UMITASHUMTA 2021 baada ya kujikusanyia alama nyingi kuliko mikoa mingine 26 iliyoshiriki mashindano hayo mwaka huu.

Mkoa wa Mara umechukua taji hilo la kuwa mkoa bingwa kutoka kwa mabingwa wa jumla wa UMITASHUMTA wa mwaka 2019 mkoa wa Tabora ambapo mwaka huu wameshika nafasi ya saba.

Nafasi ya pili ya bingwa wa jumla kwa mwaka huu imechukuliwa na mkoa wa Mwanza, huku nafasi ya tatu ikishikwa na mkoa wa Dar es salaam katika mashindano ya UMITASHUMTA yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu na Shule ya Ufundi Mtwara.

Mkoa wa Mara umefanikiwa kuvuna alama nyingi kupitia michezo ya soka wasichana, na wavulana, mpira wa mikono wasichana, mpira wa wavu wavulana, Netiboli, riadha wasichana na wavulana, na usafi na nidhamu kwa wavulana ambapo timu za mkoa huo zilishika nafasi ya kwanza hadi ya tatu kwa kila michezo hiyo.

Mkoa wa Mwanza umejizolea alama nyingi kupitia soka wasichana, mpira wa mikono wavulana, michezo ya mpira wa wavu kwa wavulana, na Netiboli kwa wasichana ambapo timu hiyo  ndiyo mabingwa wa michezo hiyo, huku timu yao ya riadha wasichana ikishika nafasi ya pili.

Kwa upande wa Mkoa wa Dar es salaam ambao ndiyo mabingwa wapya wa UMITASHUMTA katika mchezo wa soka kwa wavulana mwaka huu baada ya kuifunga timu ya soka ya mkoa wa Mara magoli 4-0 umeshika nafasi ya tatu kupitia soka wavulana, soka wasichana na soka maalum mkoa umeshika nafasi ya pili,  na sanaa za maonyesho amapo kwaya umeshika nafasi ya tatu na ngoma nafasi ya pili.

Mkoa mwingine ambao umefanya vizuri mwaka huu ni Tanga ulioshika nafasi ya nne baada ya timu zake za mpira wa mikono wavulana, mpira wa goli wasichana, na sanaa za maonesho katika kipengele cha ngoma kushika nafasi za kwanza.

Mkoa wa Morogoro ulishika nafasi ya tano  baada ya timu zake za mpira wa goli wavulana na wasichana kushika nafasi ya kwanza na ya pili.

Wenyeji mkoa wa Mtwara ulishika nafasi ya sita baada ya timu yake ya mpira wa wavu wasichana kufanikiwa kutwaa ubingwa mwaka huu,na kufuatiwa na mikoa ya Tabora, na Mbeya walioshika nafasi ya nane baada ya kuwa washindi wa pili katika mpira wa wavu wasichana.

Mgeni rasmi katika kilele cha UMITASHUMTA 2021 ni Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Philipo Gekul.

Katika hotuba yake Mhe.Gekul amepongeza ushirikiano wa wizara tatu yaani Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Naibu Waziri amewapongeza wanamichezo walioshinda mashindano ya UMITASHUMTA mwaka huu kwa kuonyesha vipaji vyao na amewataka ambao hawakushinda kutokata tamaa kwa kuwa washindanapo wawili hupatikana mshindi mmoja.

 Kilele cha mashindano ya UMITASHUMTA kilihitimishwa kwa fainali ya mchezo wa soka kati ya timu ya mkoa wa Dar es salaam dhidi ya Mara katika mchezo uliochezwa uwanja wa Nangwanda ambapo Dar es salaam ilifanikiwa kuchukua taji la ubingwa wa soka UMITASHUMTA kwa kuifunga Mara magoli 4-0

 

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.