Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Maafisa Utumishi Waaswa Kuacha Urasimu kwa Walimu

Imewekwa tar.: August 11th, 2020

Na. Fred Kibano

Serikali imewaagiza Maafisa Utumishi katika Mamlaka za Serikali  za Mitaa nchini kuacha mara moja kuwazungusha walimu kwa kutokuwa wazi kwenye masuala ya kiutumishi yakiwepo uhamisho na maslahi mbalimbali kwani ni kinyume na sheria ya Utumishi wa Umma.

Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw. Gerald Mweli wakati akiongea kwenye kikao maalum cha Maafisa Elimu wa shule za Msingi na Sekondari, Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu Jijini Tanga wakati alipofanya ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.

Mweli amesema Maafisa Utumishi kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa wamekuwa ni tatizo kwa kuacha kupitisha barua mbalimbali za watumishi wa Umma hasa uhamisho wakiwepo walimu jambo ambalo halikubalkiki. Amesema Maafisa Utumishi waliopo kwenye Halmashauri za Wilaya nchini wanawajibu wa kufuatilia masuala yote ya kiutumishi ya walimu ili kuboresha utendaji katika sekta ya elimu nchini.

“Mkuu wa kituo kukataa kupitisha barua ya uhamisho na kusema uhamisho umesitishwa hilo jukumu sio la kwako kwani  ambaye amepewa dhamana ya kuwahudumia ndiye  atakayemjibu mtumishi husika na kumpa mrejesho wake na sio Mkuu wa kituo kukataa kujibu hoja ya mtumishi husika”

Mweli amesema ziara hiyo inaendelea kufanyika mkoani Tangakwenye wilaya za Tanga Jiji, Halmashauri ya wilaya ya Tanga, Muheza, Korogwe Mji na Halmashauri ya wilaya ya Korogwe lengo likiwa ni kuongea na watumishi hasa walimu na kukagua miradi ya maendeleo ya sekta ya Elimu ili kuboresha utendaji wao wa kazi, kuimarisha utawala bora na pia kusikiliza changamoto  zinazowakabili watumishi walimu nchini.

Aidha, Mweli amesema kuanzishwa kwa kituo cha huduma kwa wateja Ofisi ya Rais TAMISEMI kama wizara ya kwanza nchini kuanzisha huduma hiyo ni maalum kwa watu wote katika kutatua kero za wananchi kwani kutasaidia hatua kwa hatua kuboresha utawala bora na kuonyesha Ofisi yaRais TAMISEMI ni ya Wananchi.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Dkt .George Michael amesema Wakurugenzi wa Halmashauri na Maafisa Elimu Msingi na Sekondari watafute namna ya kuwapa motisha walimu ili kuboresha utendaji wao lakini pia kusaidia kuelimisha walimu kuhusu kuzagaa kwa nyaraka za Serikali kwenye mitandao ya kijamii jambo ambalo sio la kimaadili na halivumiliki kwa mujibu wa kanuni, sheria na taratibu za Utumishi wa Umma.

Naye Kassim Ndumbo Mkuu wa shule Old Tanga aliyeshiriki kikao cha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Gerald Mweli, amesema Kituo cha huduma kwa Wateja cha Ofisi ya Rais TAMISEMI kitawasaidia katika kutatua changamoto zinazowakabili kwani taarifa zao watazifikisha kero zao moja kwa moja na kwa wakati hali itakayosaidia kujenga imani kwa wananchi na kurudisha mrejesho kwa wakati.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.