• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Maafisa Mawasiliano Waaswa Kutoa Taarifa za Kimkakati

Imewekwa tar.: September 20th, 2019

Serikali imewataka Maafisa Mawasiliano, Habari na Uhusiano kutumia ujuzi na weledi wao kuisemea, kuitangaza mipango na mikakati ya Serikali kwa haraka, ukweli na uhakika kimkakati ili ujumbe huo uwafikie walengwa kwa wakati.

Rai hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga wakati akifunga mafunzo ya siku tano kwa Wasemaji wa Serikali toka Wizara, Taasisi za Serikali, Wakala mbalimbali za Serikali, Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Halmashauri za Wilaya katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo.

“kwa mafunzo haya mliyoyapata, ninyi mkiwa kama Wasemaji wa Serikali katika maeneo yenu ya kazi, mtaweza kuhabarisha wananchi kuhusu miradi na utekelezaji wa mipango na mikakati ya Serikali”. Alisema Mhandisi Nyamhanga.

Amesema ni muhimu sasa kuwa na mafunzo ya mara kwa mara na endelevu ili kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika kuhabarisha Umma masuala ya kimaendeleo na kiuchumi kwa jamii

“ni muhimu sana kuwa na mafunzo ya mara kwa mara ambayo yanawaongezeeni ujuzi ili muweze kwenda na wakati katika kufikisha habari kwa walengwa, mwendelezo wa kujinoa katika kufikisha habari na taarifa sahihi kwa wakati”

Aidha, amesema Mafunzo ya mawasiliano ya kimkakati ni muhimu sana hasa wakati huu ambapo Serikali ya Awamu ya Tano inafanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kama vile Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme (Julius Nyerere Hydro-Power Project) wa Megawati 2115, Ujenzi wa vituo vya afya 352, hospitali za wilaya 67 na 27 katika mwaka 2019/2020 na zahanati, miundombinu ya barabara, madaraja, viwanja vya ndege, na utoaji wa Elimu Bila Malipo ambao kwa 2019/2020 shilingi 288.485 zimetengwa.

Mageuzi mengine ni pamoja na sheria mpya ya mapato ambapo mapato ya madini pekee yanatarajiwa kufikia shilingi Bilioni 420 mwaka 2019/2020, ununuzi wa ndege mpya na ujenzi wa treni ya umeme ya kisasa (Standard Gauge Railway) kutoka Dar es Salaam – Morogoro shilingi trilioni saba.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Jonas Kamaleki amesema mafunzo hayo ya siku tano yanalenga kuwajengea uwezo Maafisa hao ili wawee kutoa taarifa kwa usahihi, umakini na wakati, kutoa taarifa kimkakati, kutoa taarifa kwa Umma kwa mpangilio wa kisasa, usahihi na weledi.

Naye Bi. Sarah Kibonde   Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) amesema katika mafunzo hayo jumla ya washiriki 141 wamehudhuria na yamelenga zaidi kuwajengea uwezo Maafisa hao ili wawee kufanya kazi zao kwa weledi.

Akiongea kwa niaba ya Washiriki Bw. Benton Nollo Afisa Habari kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma amesema ofisi za Maafisa hao hasa katika Mikoa na Halmashauri nchini wanakabiliwa na uhaba wa vifaa, bajeti ndogo, kutotakumbulika kwa Vitengo vya Habari na kutoshirikishwa kwenye baadhi ya miradi ya Maendeleo kwenye maeneo yao.

Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa chini ya Idara ya Habari Maelezo na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) ambapo Maafisa na Wasemaji hao walijifunza kuhusu uandikaji wa habari kwa weledi, taarifa kwa Umma (Press Release), kuandaa vipindi bora vya televisheni na utumiaji wa mitandao ya kijamii.

         Anaandika Fred Kibano

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.