Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Maafisa 1,584 kujengewa uwezo Kuhusu Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo Ulioboreshwa

Imewekwa tar.: March 10th, 2020

Jumla ya Maafisa 1,584 kutoka Mikoa 26 na Halmashauri 185 nchini wanaendelea kujengewa uwezo katika vikao kazi vya maelekezo ya kuuelewa Mwongozo wa Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O&OD) Ulioboreshwa kuanzia mwezi Januari hadi Juni 2020. Pia, vikao kazi hivi vinashirikisha wadau wengine kutoka Tasisi za Kitaaluma pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo.


Kufikia sasa mikoa 10 ya Dar es salaam, Morogoro, Dodoma, Pwani, Tanga, Manyara, Arusha, Simiyu, Kilimanjaro na Shinyanga, maafisa wake wamekwishajengewa uwezo ili kuuelewa Mfumo wa O&OD.


Akifungua kikao kazi cha maelekezo ya kuwajengea uwezo wataalamu hao, leo mjini Moshi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Bwana Khatibu Kazungu amesema ni vizuri Mwongozo wa Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O&OD) Ulioboreshwa ukaeleweka ili uweze kutekelezwa kikamilifu.


Amesema kuwa Mfumo wa O&OD umejikita katika kuiwezesha jamii kupanga, kutekeleza, kufuatilia, na kufanya tathmini ya miradi wanayoitekeleza tofauti na ule wa awali ambao ulilenga kuwawezesha wananchi kupanga mipango yao na kuipeleka ngazi za juu kwa ajili ya utekelezaji jambo lililokuwa linakwamisha utekelezaji wake na kuleta utegemezi kwa Serikali.


Bwana Kazungu ameongeza kuwa Mfumo wa O&OD mbali na kuondoa changamoto za kutotekelezeka pia umehuishwa katika Mwongozo wa Mpango na Bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Mipango 2020/21 unaosisitiza Halmashauri kutumia Mwongozo wa Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O&OD) Ulioboreshwa katika upangaji wa mipango ya jamii.


Pamoja na kuhuishwa kwenye Mwongozo wa Mpango na Bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2020/21 Mwongozo wa Mfumo wa O&OD umezingatia kutoa ushauri wa kitaalamu na kuwapa moyo wanajamii katika utekelezaji wa mipango yao.


Naye Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bwana Anicetus Mramba amesema kuwa maafisa wa mikoa 16 iliyobaki wataendelea kupatiwa maelekezo ya matumizi ya Mwongozo wa Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O&OD) Ulioboreshwa. Vikazo kazi vya maelekezo ya Mfumo wa O&OD Ulioboreshwa yanatolewa na Timu ya O&OD OR-TAMISEMI kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa pamoja na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA).


Mwongozo wa Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O&OD) Ulioboreshwa umetokana na utafiti uliofanyika mwaka 2007 mpaka 2008 na kubaini mapungufu na changamoto zilizokuwepo katika Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O&OD) wa Awali ambazo ni ufinyu wa bajeti uliosababisha kutotekelezwa kwa mipango ya jamii na utegemezi.  

 Na Mathew Kwembe Kilimanjaro

       



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.