Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Lishe ni ajenda ya msingi katika kukuza uchumi wa nchi

Imewekwa tar.: February 8th, 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema ili kukuza uchumi wa nchi lazima kuwepo na rasilimali watu wenye afya ambao wataweza kuzalisha hivyo lishe ni ajenda muhimu katika jamii.

Akiongea leo  na wadau mbalimbali wa lishe nchini  wakati wa ufunguzi wa ofisi ya Nutrition  International iliyopo katika Jengo la LAPF Jijini Dodoma Mhe Jafo amesema  bado suala la lishe halipewi kipaombele katika jamii hivyo ni vyema wadau wanaoshughulika na lishe nchini kuungana na kutoa elimu kwa jamii.  

Amesema kuwa inawezekana ukawa na kundi kubwa linakusikiliza lakini wakashindwa kutoa maamuzi kutokana na tatizo la lishe duni hivyo tunapozungumzia suala la lishe ni ajenda muhimu kwa jamii nchini.

“Inawezekana watu wengi hawajaui madhara ya lishe  kwa ukubwa wake kwa kuwa mtu akila na kushiba  na kuona anaweza kutembea anaona yupo sawa, hivyo ninawaagiza  wadau wote wanaojishughulisha na masuala ya lishe kuhakikisha wanapambana kikamilifu  kutatua changamoto hiyo kwa jamii” amesema Mhe. Jafo

Mhe. Jafo amewaagiza wadau hao kuhakikisha wanajikita katika kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa lishe nchini ili taifa liwe na rasilimali watu wenye afya njema, wenye uwezo wa kulitumikia taifa na kukuza uchumi wa nchi lengo likiwa ni kufikia uchumi wa viwanda.

Amesema suala la lishe nchini ni ajenda inayopaswa kuwa kipaombele kwa kuwa inahusisha rasilimali fedha ambazo mara nyingi hutumika kuwasaidia watu wenye matatizo ya lishe pale wanapopatwa na maradhi.

Hata hivyo, amewashukuru wadau mbalimbali wa maendeleo ambao wamejiwekeza katika suala zima la lishe ambapo  hali ya udumavu imeweza kushuka kutoka asilimia hamsini mwaka 1991 hadi kufikia asilimia 32   kutokana na mchongo mkubwa mnaoufanya katika kuhakikisha hali ya udumavu inazidi kupungua nchini.

Wakati huohuo,  Mkurugenzi  wa Kanda  ya Afrika  Dkt. Richard Pendame amesema kuwa  shirika la Nutrition International lilianzishwa mwaka 2016 hapa nchini kwa lengo la kuwasaidia  wajawazito,watoto wenye umri chini ya miaka mitano na vijana ambao  wamebalehe katika suala zima la lishe.

Aidha, Dkt. Pendame amesema kuwa  katika tafiti zilizofanywa mwaka 1998 zilionyesha kuwa asilimia 50 ya watu barani Afrika wana utapiamlo, hivyo juhudi za makusudi zinahitajika katika kupambana na tatizo hilo kwa kutoa elimu kuhusu umuhimu wa lishe bora kwa jamii.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.