• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Kutoa Mikopo ya Asilimia 10 sio hiari – Dkt. Dugange

Imewekwa tar.: October 29th, 2021

Na Fred Kibano, Mpwapwa

Serikali imezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuendelea kutenga fedha kutokana na vyanzo vyao vya mapato kwa asilimia 10 ili kutoa mikopo kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwani ni suala la kisheria.

Kauli hiyo imetolewa na Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali alipofanya ziara yake ya kikazi wilayani Mpwapwa na kuongea na watumishi na kikundi cha Vijana Umoja National Housing bodaboda.

Mheshimiwa Dugange amesema sio suala la hiari kwa Mamlaka za Serikali bali sheria kutoa mikopo ya asilimia 10 kwa makundi hayo.

“kuanzia mwaka 2019/2020 kuna sheria mahususi kabisa ya mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani baada ya kutoa vyanzo lengwa ni lazima kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wapate mikopo hiyo ya asilimia 10”

Aidha, Dugange amesema Serikali itaendelea kuhakikisha makundi hayo lengwa ya vikundi vijana, wanawake na watu wenye ulemavu yanawezeshwa kiuchumi kama ilivyo azma ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan lakini pia amewapongeza vijana hao kwa wa kikundi cha Umoja National Housing Mpwapwa kutambua fursa zinazotelewa na Serikali yao.

Dugange pia amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kutoa fedha za mitaji mikubwa yenye tija ili vikundi viweze kuzalisha na kuanza kurejesha mikopo yao kwa wakati badala ya kutoa fedha kidogo kidogo kwani haitawasaidia kujikwamua kiuchumi.

Kwa upande wake Alex Julius Mwenyekiti wa Vijana Umoja National Housing amesema walipokea mkopo wa shilingi 24,500,000 na wao pia kuchangia shilingi 930,000 na kufanya jumla ya shilingi 25,530,000 ambapo walinunua pikipiki 10 aina ya Hajoue 125 CC na kulipia bima.

Aidha, Bwana Alex Julius amesema mradi huo umekuwa na manufaa makubwa kwao na wanatarajia kuwa na biashara kubwa zaidi hapo baadae.

“mkopo huu umetusaidia kujiajiri na kupata kipato na kutoa mchango kwenye kaya, kupunguza umasikini, kutoa huduma ya usafiri wa uhakika na kurejesha sehemu ya mkopo kiasi shilingi 4,130,000 kwa mujibu wa makataba na tunatarajia duka la jumla au kiwanda”

Mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu imeanza kuwa na tija baada ya Serikali kuamua kukopesha vikundi fedha nyingi zinazokidhi mahitaji yao.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.