Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI CHAPUNGUA NCHINI.

Imewekwa tar.: December 1st, 2024

Na. Angela Msimbira RUVUMA

Waziri wa Afya Mheshimiwa Jenista Mhagama ( Mb) amesema kiwango cha Maambukizi ya virusi vya ukimwi nchini  kimepungua kutoka asilimia 7 kwa mwaka 2003/2004 hadi kufikia asilimia 4.4 kwa mwaka 2022/2023.

Akifungua Kongamano la Kitaifa  la Kisayansi kuelekea maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani inayofanyika Kitaifa Mkoani Ruvuma Mhe.Mhagama amesema kiwango cha maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kimepungua kutoka asilimia 18 kwa mwaka 2010 hadi  kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2023. 

Amewashukuru wadau wa afya nchini  kwa kujikita kikamilifu katika kuhakikisha watoto wanaozaliwa wanakuwa salama bila kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kuendelea kuratibu suala zima la mapambano dhidi ya ukimwi na VVU nchini kwa kutengeneza mikakati unganishi na shirikishi ambayo imesaidia kupunguza maambukizi ya virusi vya  ukimwi nchini.

 "Ni lazima kuona thamani ya tathmini yetu ambayo inatuonyesha tulipotoka ,tulipo na tunakoelekea" amesema  Mhe.Mhagama

Ameendelea kusisitiza kuwa kila mmoja anakila sababu ya kuwa ni mshiriki namba moja wa kulinda mafanikio yaliyopatikana  na kuhakikisha tunafanya vizuri zaidi katika maendeleo ya mapambano dhidi ya VVU na ukimwi 

Amewataka TACAIDS kuendelea kuweka utaratibu wa kusikiliza na kutatua malalamiko yanayotokana na unyanyapaa kwa waathirika  na kuhakikisha kunakuwepo na vituo  salama kwa ajili ya vijana hasa kwenye kanda.

Amewataka kuhakikisha wanaweka utaratibu utakaosaidia kusambaza muongozo wa unasihi kwa kuzingatia mila na desturi za kitanzania hasa pale miongozo hiyo itakapokuwa inatumika kwenye shule zinazotoa elimu kwa watoto wa kitanzania

"Tunazo mila na desturi zetu hivyo ni vyema tukazingatia sana mila na tamaduni zetu katika kutoa na kutumia miongozo ya unasihi na hasa kwa watoto katika maeneo ya utoaji wa elimu"amesisitiza Mhe.Mhagama

Aidha, amewataka wadau wa sekta binafsi na Umma zihamasishwe, kuwekeza katika ujenzi wa viwanda kwa ajili ya vifaa, bidhaa tiba za ukimwi ndani na nje ya nchi ya Tanzania

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.