Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Kigoma yatajwa kwenye orodha ya mikoa inayolegalega utekelezaji wa Miradi

Imewekwa tar.: August 13th, 2024

OR - TAMISEMI, Kigoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaja Kigoma kuwa  miongoni mwa mikoa inayolegalega katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, akiwataka watendaji kuongeza juhudu katika kutekeleza miradi mikubwa ya serikali na utoaji wa huduma kwa jamii.    

Waziri Mchengerwa ametoa agizo hilo Agosti 12, 2024 wakati wa ziara yake mkoani Kigoma alipokutana na  kuzungumza na watumishi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa  huo pamoja na watendaji wa taasisi mbalimbali za umma ngazi ya mkoa na wilaya.    

Waziri Mchengerwa amesema wananchi wana kiu kubwa ya maendeleo wakitamani kuona miradi  inayotekelezwa katika maeneo yao inakamilika kwa wakati hivyo watendaji hawana  kisingizio chochote cha kuchelewesha miradi hiyo.    

"Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia OR - TAMISEMI analeta fedha za kutosha kutekeleza miradi yote nchi nzima, sisi watendaji hatuna namna yoyote ile tunayoweza kusema kwa nini tunalegalega katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo" alisema Waziri Mchengerwa.    

Ameongeza kuwa Ofisi yake haitamvumilia mtendaji yeyote anayelegalega katika kipindi chake akisisitiza uwajibikaji kwa jamii na utatuzi wa kero za wananchi kuwa kipaumbele namba moja kwa watendaji wake.    

"Mimi na Wakurugenzi tumekubaliana miradi yote inayohiusu OR- TAMISEMI iwe imekamilika kufikia Desemba 30, 2024, na kwenye hili Wakuu wa Wilaya simamieni, fuatilieni kwa ukaribu miradi hii ni ya kwenu, sasa tukisikia miradi haijakamilika maana yake na nyinyi mnahusika moja kwa moja tusiwaonee wakurugenzi peke yake” alisema Waziri Mchengerwa     

Aliongeza kuwa “kuanzia sasa nataka niwaone mkiwa bega kwa bega kukagua kila mradi uliopo kwenye wilaya zenu na mtushauri maana taarifa zenu zitatusaidia sana kufanya maboresho kuliko taarifa tukizipata kienyeji na kupitia kwenye vyombo vya habari”.

Kadhalika Waziri  Mchengerwa amewataka watendaji katika mamlaka yake kuwa msatari wa mbele kubainisha changamoto za maeneo wanayo yahudumia ili kuweka urahisi kwa viongozi wenye mamlaka kuzitafutia ufumbuzi.    

Waziri Mchengerwa yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo anatembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa chini ya OR - TAMISEMI.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NIMESAINI NOTISI ZA KUVUNJA MABARAZA YA MADIWANI - MCHENGERWA

    June 15, 2025
  • MANYARA BINGWA RIADHA WASICHANA NA WAVULANA MITA 1,500

    June 15, 2025
  • MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO

    June 14, 2025
  • MANYARA NA MWANZA MABINGWA RIADHA MITA 800 

    June 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.