• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Kaya Zaidi ya 400,000 Zapatiwa Vyandarua bure Geita DC

Imewekwa tar.: March 21st, 2018

Halmashauri ya wilaya ya Geita imefanikiwa kugawa vyandarua vyenye viuwatilifu 131,445 kwa uwiano wa  chandarua kimoja kwa watu wawili kwa jumla ya kaya  467,609 katika harakati za kutokomeza ugonjwa wa malaria ambao bado ni tishio kwa eneo la kanda ya ziwa.

Akiongea wakati wa kikao cha kutathimini hali ya malaria wilayani hapa kaimu mratibu wa malaria wilaya ya Geita ndugu Fredy Mwaipaja amesema Maambukizi ya malaria yamepungua  kutoka asilimia 16.3% mwaka 2016 hadi 15.1% mwaka 2017 kwa wagonjwa  112,134 sawa na asilimia 36.5% kati ya wagonjwa  310,251 waliofika katika zahanati na vituo vya afya ambao ni wagonjwa wa nje maarufu kama OPD .

Utafiti wa malaria uliofanyika mwezi Oktoba, 2017 katika shule 5 za Msingi  Halmashauri ya wilaya Geita unaonyesha  wanafunzi  396 kati ya 674 sawa na asilimia 58.8% ya wanafunzi waliopimwa waligundulika na vimelea vya Malaria hali iliyopelekea  Halmashauri kuja na mkakati mwingine wa kuhakikisha vyandarua vyenye viwatilifu  vinagawiwa shuleni  na pia watoto wanafundishwa mbinu mbalimbali za kupambana na Malaria.

Mwaipaja  ameeleza  kiwango cha upimaji wa malaria kimeongezeka kutoka asilimia 91.8% mwaka 2016 hadi asilimia 98.8% mwaka 2017 na watu waliogundulika  wana malaria walipatiwa tiba.

Akilezea Sababu zinazochochea maambukizi ya malaria katika jamii ni pamoja na tabia ya jamii kuchelewa kufika kwenye vituo vya kutolea huduma za afya kwa ajili ya utambuzi na kupata tiba ya malaria, Kutumia dawa bila kupima,  kutokamilisha dozi kwa wagonjwa wa malaria, Matumizi yasiyo rasmi ya vyandarua kwa shughuli zisizokusudiwa pamoja na  Kugomea shughuli za unyunyiziaji wa dawa ya ukoko majumbani”.

“Katika kuhakikisha Malaria inaondoka kabisa Geita kwa sasa tunatoa elimu kwa jamii na tunahakikisha matumizi salama na sahihi ya vyandarua yanatelekezwa na ndio maana tumeamua kugawa vyandarua hivyo kwenye ngazi za shule za msingi kama njia mojawapo ya kuzuia malaria” Ameongeza Mwaipaja.

Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita baina ya Wataalam kutoka Halmashauri ya wilaya ya Geita pamoja  na mashirika yasiyo ya kiserikali ya “Tanzania Communication and Development Center”(TCDC),Pamoja na New Light Children Organisation (NELICO)  kwa lengo la kutathimini hali ya Ugonjwa wa  Malaria wilayani hapa.



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.