Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

KAMATI YA LAAC YAPONGEZA USIMAMIZI NA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA UJENZI WA SHULE MPYA MOLETI- KONGWA

Imewekwa tar.: August 20th, 2023

Asila Twaha, Kongwa

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) imeupongeza uongozi wa kijiji cha Moleti Kata ya Chiwe, Halmashauri ya Kongwa kwa usimamizi na matumizi  ya fedha iliyopelekwa kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya msingi kupitia Mradi wa BOOST.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Mhe.Stanslaus Mabula ametoa pongezi hizo Agosti 19, 2023  kwa niaba ya wajumbe wa Kamati wakati wa ziara kijijini Moleti kukagua utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya iliyojengwa kupitia Mradi wa BOOST uliogharimu shilingi milioni 318.

Mhe. Mabula amesema moja ya jukumu la Kamati yake ni kusimamia matumizi ya fedha zinazopelekwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi zinatumika vizuri  na matumizi yake yalingane na thamani ya fedha iliyotolewa kwenye mradi husika.

Akiongea kwa niaba ya Kamati, Mhe.Mabula ameridhishwa na usimamizi  na matumizi ya fedha zilizotumika katika ujenzi wa miundombinu ya shule mpya ya Moleti yenye vyumba 7 vya madarasa, vyoo matundu 8 vya wanafunzi, vyoo matundu 2 vya walimu, vyumba 2 vya madarasa ya mfano ya wanafunzi wa elimu ya awali, kichomea taka,  jengo la utawala na utengenezaji wa madawati kwa ajili ya shule ya msingi pamoja na meza na viti kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya awali.

Ametoa wito kwa uongozi wa Kijiji kuendelea kushirikiana  katika masuala  ya maendeleo kijiji chao kama walivyoshirikiana kwa  kuhakikisha shule hiyo inakamilika kwa wakati na kuwataka kuwasimamia wanafunzi wasome ili wafikie malengo yao bila kuwakatisha masomo.

"Serikali inaleta miradi hii kwa ajili ya wananchi  tuitunze, tuilinde lakini muhimu zaidi nasisitiza tuhimize watoto wetu wapate elimu, miundombinu hii ya shule imekamilika ni jukumu letu wazazi na  walimu amesema Mhe. Mabula.

Awali akisoma taarifa ya ujenzi  wa shule hiyo Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi  Moleti Rose Justine amesema, shule hiyo imepunguza uhaba wa miundombinu  na  imesaidia  kuboresha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji kutokana na mazingira yake kuwa mazuri.

Vilevile  ameieleza Kamati ya LAAC kiasi cha fedha cha shilingi milioni 10 kilichobaki wameuomba uongozi wa Halmashauri ya  Wilaya ya Kongwa iridhie zitumike kwa ajili ya  uchimbaji wa kisima cha maji  ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji jambo ambalo Kamati imeridhia.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.