• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

KAIRUKI:WASILISHENI NYARAKA ZA KIUTAWALA ZINAZODAIWA KUUNGUA

Imewekwa tar.: November 15th, 2022


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki ameubana uongozi wa soko kuu la Kariakoo kwa kuwataka kuwasilisha nyaraka zote muhimu za kiutawala zinazodaiwa ziliungua na moto kwenye tukio lililotokea Julai 10, mwaka jana.


Akizindua  Bodi ya  Wakurugenzi wa Shirika   la Masoko ya Kariakoo leo Novemba 15, 2022 Jijini Dar Es Salaam, Waziri kairuki amewataka waliofanya udanganyifu wa aina yoyote, kujisalimisha mara moja kwa kusa serikali ina mkono mrefu wa kuzipata nyaraka hizo wakati wote.


Amewataka watendaji hao kujisahihisha kama kuna taarifa walizoficha kwa kuziwasilisha kwake mapema iwezekanavyo kwa sababu hakuna atakayesalia katika hilo.


Alisema jambo hilo wameliachia vyombo vya uchunguzi kufanya kazi yake na ndio sababu anahimiza watendaji hao kujisalimisha mapema.


"Bado mna nafasi, mkifikiri majibu mliyotoa wakati ule kuwa ndio tumemalizana, bado hatujamalizana ni bora tujisalimishe haraka kuliko kukaa kimya, hela ya serikali haiwezi kupotea hivi hivi tu, pia kama kulikuwa na hujuma itajulikana, kama ni moto wa 'Nature Desaster'  itajulikana," amesema Kairuki.



Waziri Kairuki ameitaka bodi hiyo ya wakurugenzi kufanyia kazi hoja zote za ukaguzi na kufanyia kazi yale yote yaliyobainika.


Sambamba na hilo, amesisitiza kufanya mapitio ya umiliki wa asilimia 51 ya hisa za soko hilo  zinazomilikuwa na Jiji la Dar es Salaam ambayo awali ilijumuisha halmashauri zote za Mkoa huo lakini sasa zinamilikiwa na Ilala pekee.


Amewataka  muundo wa kiutendaji wa shirika hilo ukaguliwe ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji wa soko hilo.


Waziri Kairuki ameagiza  kuangalia mifumo ya TEHAMA kama inasaidiaje kutunza na kuhifadhi nyaraka, usimamizi wa makusanyo na matumizi ya fedha.


Amewataka kufanya ukaguzi wa ujenzi kama thamani ya fedha na kazi inayofanyika, asilimia 49 ulipofikia ujenzi na maendeleo yake.


Awali, Kaimu Meneja Mkuu wa Masoko ya Kariakoo, Sigsibert Valentine, akiwasilisha taarifa kwa Waziri Kairuki, amesema ujenzi wa soko hilo unaojumuisha ukarabati wa jengo la zamani na ujenzi wa jengo hilo mpya, umefika asilimia 49.


Amesema ujenzi huo utakamilika Oktoba 23, 2023 ambalo litakuwa  naj uwezo wa kuajiri watu 4,000 tofauti na awali liliajiri 1,600

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA ATNO AWAMU YA PILI,2023 September 27, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA SHULE MPYA ZA SEKONDARI,2023 August 25, 2023
  • KUSIMAMISHWA KAZI KWA MKURUGENZI WA BUHIGWE July 12, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • DMDP II MBIONI KUANZA KAZI ZA UJENZI

    September 27, 2023
  • SHULE SALAMA MWAROBAINI WA UKATILI DHIDI YA WATOTO

    September 27, 2023
  • NDEJEMBI ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATAALAM WA ELIMU

    September 18, 2023
  • DKT. SAMIA ASHANGAZWA NA HALMASHAURI KUSHINDWA KUJENGA JENGO LA X-RAY

    September 17, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.