• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

KAIRUKI AWASHUKURU UNFPA,SERIKALI YA DENMARK, UBORESHAJI WA KITUO CHA AFYA DABALO

Imewekwa tar.: May 9th, 2023

OR-TAMISEMI, CHAMWINO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Angella Kairuki ameshukuru Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) kupitia mradi wa kuboresha huduma za afya ya uzazi, watoto na vijana (RMNCAH - UNFPA) uliyofadhiliwa Serikali ya Denmark kwa kuwekeza  fedha  kwa ajili ya maboresho ya Kituo cha Afya Dabalo kilichopo Halmashauri ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Kairuki ametoa shukrani hizo Mei 09, 2023 katika hafla fupi ya makabidhiano ya  jengo la upasuaji, wodi ya wazazi, vifaa na vifaa tiba pamoja gari la kubebea  wagonjwa  katika Kituo cha afya Dabalo Wilayani Chamwino.

Amesema gharama za uwekezaji huo ni jumla ya Sh 615,205,539 ambapo Sh 327,000,000 zimetumika kwa ukarabati na ujenzi na Sh 288,205,539 zimetumika kwa ununuzi wa gari la kubebea wagonjwa na vifaa/vifaa tiba

"Kwa niaba ya Serikali ya Tanzania, natoa shukrani zangu za dhati kwa kuboresha huduma za afya nchini hasa huduma ya mama na mtoto, ni matumaini na matarajio yangu kuwa uwezeshaji huu utaleta mwanga mpya wa matumaini kwa jamii ya Chamwino kwa ujumla" Amebainisha Kairuki

Aidha,  Waziri Kairuki amezitaka  Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za  Mitaa nchini  kuwa na matumizi sahihi ya magari ya kubebea wagonjwa ikiwa ni pamoja na kuliwekea bima na kuyafanyia matengenezo kinga  kwa wakati na mara kwa mara.

Pia amezitaka Mamlaka hizo  kuhakikisha kuwa vituo vyote vya afya vilivyojengwa  na Serikali kwa kushirikiana na  wadau wa maendeleo  vinatoa huduma kwa wananchi kama ilivyokusudiwa.

Ili kuhakikisha kuwa huduma zinazotolewa kwenye vituo vya afya zinakidhi vigezo kwa mujibu wa Miongozo iliyotolewa na Serikali ,Kairuki amezitaka Mamlaka hizo kufanya usimamizi saidizi  wa ubora  wa huduma katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya vilivyopo katika maeneo yao.

Awali, Mwakilishi wa UNFPA nchini Tanzania, Mark Bryan Schreiner alisema kuwa wanatambua dhamira ya pamoja na Serikali ya Tanzania kutoa haki na chaguo kwa wote, na kwamba wanaheshimu kujitolea kwa wahudumu wa afya katika kutoa huduma za afya ya uzazi na jinsia.

“Tunaitambua Serikali ya Denmark kama mtetezi dhabiti wa kimataifa wa afya ya uzazi na haki za uzazi, na Ubalozi wa Kifalme wa Denmark jijini Dar es Salaam kwa kusaidia uimarishaji wa mfumo wa afya ili kupanua uwezo wa huduma za afya ya uzazi nchini Tanzania.

“Tunaishukuru Serikali ya Denmark kwa ufadhili wa dola za Marekani milioni 2.3, ambazo zilisaidia mradi wa Kutambua Upatikanaji wa Haki za Afya na Haki za Ujinsia na Uzazi Vijijini hapa Tanzania. Shughuli nyingi za mradi zilifanywa kutoka 2019 hadi 2021,”amesema Schreiner.

Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard amesema: “Kupitia utoaji wa huduma za afya ya uzazi na taarifa, mradi unaofadhiliwa na Denmark umeleta mabadiliko katika maisha ya makumi ya maelfu ya wanawake, wanaume na vijana,” amesema.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.