Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Kagera yafufua matumaini ya kufanya vizuri UMISSETA

Imewekwa tar.: June 24th, 2021

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Timu ya soka ya wavulana ya Mkoa wa Kagera imefufua matumaini yake ya kufanya vizuri katika michuano ya UMISSETA inayoendelea katika viwanja vya Chuo cha Ualimu na Shule ya Ufundi Mtwara baada ya kuichapa Pwani magoli 2-1.

Huu ni mchezo wa pili kwa Kagera baada ya kufungwa katika mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya bingwa Mtetezi wa kombe hilo timu ya mkoa wa Geita baada ya kuchapwa goli 1-0.

Katika mchezo wa jana magoli ya Kagera yalifungwa  katika kipindi cha kwanza na washambuliaji Vasco Mkande na Dikson Boniface.

Mara baada ya mchezo huo Kocha wa Kagera Hashim Mwakawago ambaye anafundisha shule ya sekondari ya Rugambwa mkoani Kagera alisema kuwa wachezaji wake walijituma kwa bidii kuupata ushindi huo.

Mwakawago amesema timu yake itajitahidi kufanya vizuri ili isonge mbele katika michezo inayofuata ambapo leo atacheza na Mbeya na kufuatiwa na michezo mingine dhidi ya Ruvuma, Tabora na kumaliza na Kilimanjaro katika hatua ya makundi.

Matokeo ya michezo mingine kwa upande wa soka wavulana Njombe imefungwa na Tanga  magoli 3-0,Rukwa imeichapa Iringa 1-0, nayo Tabora imeifunga Mbeya 1-0, Kigoma imefungwa na Simiyu magoli 1-2 huku Dar es salaam na Lindi zikitoka sare ya 1-1.

Matokeo mengine ya soka wavulana Manyara imeifunga Shinyanga 1-0, Mabingwa watetezi Geita nao wamechapwa na timu machachari ya Ruvuma 0-1, Dodoma na Katavi zimetoka suluhu na Songwe imeichapa Pemba 1-0.

Katika mchezo wa soka wasichana Singida imeifunga Geita 1-0, Mwanza imechapwa na Tabora 1-2, Mtwara nayo imefungwa na Mwanza 0-3, Manyara imeifunga Songwe 3-0, Arusha imeifunga Dodoma  1-0, Mbeya imechapwa na Morogoro 1-2, Kagera na Kilimanjaro zimetoka sare 1-1, Ruvuma nayo imetoka sare na Dar es salaam magoli 3-3 na Dar es salaam imeifunga Simiyu magoli 2-1.

Kwa mchezo wa mpira wa mikono handball wavulana Lindi dhidi Simiyu 19-16, Kilimanjaro dhidi ya Geita 13-25, Dar es salaam dhidi ya Mara 17-22, Iringa dhidi ya Ruvuma 7-9, Arusha dhidi Ruvuma 39-26, Pwani dhidi ya Njombe  36-14, Shinyanga dhidi ya Tanga 8-31 na Manyara dhidi ya Dodoma  20-22.

Mpira wa mikono wasichana Mwanza  imefungwa na Tanga kwa magoli 11-19 na Lindi dhidi Morogoro 4-17.

Kwa upande wa mchezo wa Netiboli Mara 32 dhidi ya 19 Arusha, Kagera 25 dhidi ya Lindi 12, Manyara 20 Pwani 31, Dar es salaam 37 dhidi ya Ruvuma 9, Geita 18 dhidi Songwe 32, Mtwara 15 dhidi ya Rukwa 34, Unguja 12 dhidi ya Singida 29, Iringa 16  dhidi ya Dodoma 18, Kilimanjaro 22 dhidi Tanga 23.

Pia Shinyanga 30 dhidi Katavi 20, Tabora 38 dhidi Simiyu 11 na Arusha  22 dhidi Njombe 12.

Matokeo ya mpira wa wavu wavulana  Mtwara imeifunga Tabora seti 3-2, Mbeya imeifunga Kagera seti 3-0, Mara imeichapa Pemba seti 3-0, Arusha imeichapa Iringa 3-1, na Tanga imefungwa  na Dodom,a kwa seti 1-3, Rukwa imeifunga Kigoma seti 3-0.

Michezo mingine imeshuhudia Manyara ikipoteza kwa mwanza seti 1-3, Ruvuma nayo ikipoteza kwa Arusha seti 3-0, Shinyanga ilifungwa na Dodoma kwa seti 2-3, Lindi nayo imefungwa na Kigoma  seti 3-0, Simiyu imefungwa na Mwanza seti 1-3 na Kilimanjaro imeifunga Tanga seti 3-0.

Katika mpira wa wavu wasichana Kigoma imechalazwa na Tanga seti 0-3, Mara dhidi ya Kilimanjaro seti 3-0, Mtwara dhidi ya Arusha 3-0 na Dar es salaam dhidi ya Iringa  seti 3-0.

Katika mpira wa kikapu wavulana Geita ilichabangwa na Geita 54-45, Mwanza dhidi ya Kigoma 66-15, Mtwara  dhidi ya Kilimanjaro magoli 11-47, Ruvuma dhidi ya Pwani 18-46, Morogoro dhidi ya Iringa 97-39, Lindi dhidi ya Njombe 11-15, Arusha dhidi ya Simiyu 44-33 na Songw dhidi ya Mbeya 13-33.

Katika mpira wa kikapu wasichana Shinyanga imeifunga Mtwara magoli 20-10, Geita dhidi ya Lindi 27-19, Iringa dhidi ya Mwanza 6-87, Kilimanjaro dhidi ya Arusha  18-44 na Dodoma dhidi ya Simiyu.

Michuano hiyo itaendelea hapo leo katika viwanja mbalimbali vya Chuo cha Ualimu na Shule ya Ufundi Mtwara

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.