• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Kaaya awahimiza wananchi kutumia siku tatu kikamilifu kujiandikisha

Imewekwa tar.: October 11th, 2019

Watanzania wametakiwa kutumia muda uliobaki wa  siku tatu kwa ajili ya  kujiandikisha katika orodha ya daftari la  wapiga kura ili kuweza kupata haki yao ya msingi ya kikatiba ya kugombea na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika 24 Novemba ,2019.

Hayo yamebainishwa leo na Katibu  Mkuu  Jumuiya ya Serikali za Mitaa (ALAT) Bw. Elirehema Kaaya  Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa mara baada ya  kajiaandikisha katika Mtaa wake wa Mlimwa Area D Dodoma.

Bw. Kaaya amesema kila Mtanzania anatakiwa kujiandikisha ili kupata haki yake ya kikatiba katika kugombea na kupiga kura kwa kuwa hakuna atakaye gombea au kupiga kura kama hajajiandikisha katika Daftari ya  Orodha ya wapiga kura katika eneo analoishi.

Amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni utekelezaji wa dhana ya ugatuaji wa madaraka ambayo inasisitiza  Serikali  kupeleka madaraka ya kisiasa kwa wananchi ili waweze kuchagua viongozi watakaowasilisha  katika shughuli za kujiletea maendeleleo, hivyo ni haki yao ya msingi kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi katika kipindi hiki cha kujiandikisha ili kuhakikisha wanapata nafasi ya kumchagua kiongozi ambaye atawaletea maendeleo kwenye mitaa, Vijiji na Kitongoji.

“Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu  kwa vile unalenga kuwapata viongozi katika ngazi za Mitaa, Vijiji na Vitongoji ambao wataweza  kusimamia utekelezaji wa maagizo ya Serikali Kuu, hivyo ni wajibu wetu sote kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha, kuchukua fomu na kupiga kura kwa kuwa ni haki kuchagua na kuchaguliwa”Amesisitiza Bw. Kaaya.

Wakati huohuo, Bw. Kaaya ametoa rai kwa watanzania wote nchini kutojihusisha na vitendo vya rushwa,ubaguzi wa kijinsia ,rangi na unyanyasaji wa aina yoyote  katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika 24 Novemba, Mwaka huu ili kulinda amani na umoja wa wananchi katika kufikia malengo ya kuleta maendeleo ya taifa.

Aidha amesisitiza kuwa kila mtanzania anatakiwa kutambua kuwa kitambulisho cha mpiga kura hakitumiki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bali wajiandikishe katika Daftari la Orodha ya Wapiga kura kutokufanya hivyo kutakuondolea sifa ya kugombea na kupiga kura

Naye Mtendaji wa Mtaa wa Mliwa Bi. Getrude Festo, amesema zoezi  la kujiandikisha katika daftari la Orodha ya wapiga kura linaendelea  vizuri lakini changamoto kubwa ni kuwa  watu wengi kwa siku za kazi wanakuawa makazini, lakini kwa siku tatu zilizobaki wanaimani watajiandikisha ili wapate  fursa ya kupiga kura siku ya 24 Novemba,2019.



Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.