• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Jafo awapongeza Wadau wa Sekta ya Afya

Imewekwa tar.: August 18th, 2018


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo  amesema katika kuboresha afya kunahitajika uwepo wa wadau wengine ili waweze kuunga mkono juhudi za serikali  katika kuwahudumia wananchi kwa kuwapatia huduma wanazozihitaji kwa ulinzi wa afya zao.

Akifunga mkutano wa wadau wa maendeleo katika sekta ya afya uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani  leo Jijini Dodoma Mhe. Jafo amesema kuwa kama hakuna nia dhabiti ya kisiasa ya kiongozi wa nchi Sekta ya afya haiwezi kufanikiwa.

Amewashukuru wadau wa maendeleo katika Sekta ya Afya  kwa  kushirikiana na Serikali katika kuwekeza  kwa ajili ya kuwahudumia wananchi  maskini walipo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchini.

Amesema kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli ameamua kutekeleza Ilani ya Chama Cha mapinduzi kwa vitendo kwa kusimamia kwa dhati sekta ya afya nchini  hivyo wadau wa maendeleo katika sekta ya afya hawanabudi kuunga mkono juhudi hizo.

Akiongelea suala la utekelezaji wa majukumu kwa weledi Mhe. Jafo amesema viongozi waliopewa dhamana wana wajibu wakuhakikisha  wanakuwa mfano wa kukumbukwa na jamii katika kutimiza wajibu wao  wa kuwahudumia wananchi  maskini ambao wanahitaji huduma bora za afya nchini.

Amewapongeza  Wanganga Wakuu wa Mikoa na  Wilaya  kwa weledi na kutumia taaluma zao katika kushauri kitaalam jinsi ya kujenga vituo vya afya nchini jambo ambalo limesaidia kuhakikisha kuwa vituo vinakamilika kwa wakati na kwa gharama zilizokusudiwa na Serikali.

‘’Kwa gharama ya shilingi milioni 500 wameweza kujenga wodi ya Wazazi, Chumba cha upasuaji, maabara, chumba cha kuhifadhia maiti,  maeneo ya kutembelea wagonjwa, vichomea taka kweli  mnahitaji pongezi kwa kuwa bila maelekezo na usimamizi wenu majengo hayo yasingepatikana” Anasema Jafo

Amewaagiza kuendeleza taaluma yao kwa kufanyakazi kwa uadilifu na weledi  kwa kuwa taifa linawategemea katika kutatua changamoto za sekta ya afya na kuleta mabadiliko lengo likiwa ni kutoa huduma bora kwa jamii.

Amewataka kuhakikisha wanawasimamia wahudumu wa afya nchini na kuwataka kutumia lugha nzuri kwa wananchi ili wagonjwa waweze kuvutiwa kuja kupata huduma katika vituo vya afya nchini, na wabadilishe sekta ya afya kuwakuvifanya kuvutia  na kuwafanya wananchi  kuvutika kabla ya kupatiwa matibabu.

Mhe. Jafo amewataka kuhakikisha wanajenga imani kwa wananchi kuwa Serikali inawajali na kuwadhamini katika suala zima la utoaji huduma bora za afya nchini.

Amewashukuru wadau  wa maendeleo ya sekta ya afya nchini kwa kutenga fedha kwa ajili ya kuendeleza Sekta ya afya  na kusababisha ujenzi wa vituo vya afya unakamilika kwa wakati.

Aidha amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa kuhakikisha  wanasimamia Hospitali   na vituo vya afya nchini  kwa kuhakikisha wanafunga mifumo ya kielektoniki ili kuweza kukusanya mapato na kupunguza ubadhilifu wa  wa mapato nchini.



Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.