Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

JAFO atoa maagizo mazito Halmashauri ya Wilaya ya Longido.

Imewekwa tar.: July 9th, 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amemuagiza  Mkurugenzi  na Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido Mkoani Arusha kuhakikisha  wanawasilisha barua za kujieleza kwa nini wasichukuliwe hatua kwa kushindwa kusimamia ujenzi wa miradi kikamilifu.

Ametoa agizo hilo leo wakati akikagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Longido, Mkoani Arusha  

Akikagua miradi ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Longido  pamoja na Kituo cha Afya, Mhe. Jafo ameonesha kukerwa na usimamizi hafifu uliopelekea miradi hiyo kusuasua na kushindwa kukamilika kwa wakati.

Akiwa katika jengo la Hospitali ya Wilaya ambapo Serikali ilileta Bilioni 1.5 kwa awamu ya kwanza sambamba na Halmashauri zingine nchini, Mhe Jafo amebaini kuwa licha ya fedha kutumika bado ujenzi hauridhishi huku wananchi wakiwa wanataka huduma.

‘’ Inasikitisha sana kuona Halmashauri za mbali kama Karagwe, Kyerwa na Nyasa wamekamilisha ujenzi  wa Hospitali za Wilaya, hivi sasa Serikali imeongeza shilingi milioni 300 ili kukamilisha mapungufu yaliyobaki lakini bado Hospitali ya Wilaya ya Lungido haijakamilika na mnahitaji fedha zaidi kwa ajili ya kukamilisha hilo haliwezekani” Amesisitiza Mhe. Jafo

Mhe. Jafo, ameielekeza pia Kamati ya Ulinzi na Usalama kukaa na kufanya tathmini ya kina juu ya miradi hiyo ikiwa ni pamoja na kubaini kilichopelekea kushindwa kukamilika kwa wakati.

Akikagua ujenzi wa Kituo cha afya cha Oriendeki katika Halmashauri hiyo, Mhe. Jafo amesikitishwa na hali ya mradi huo huko akieleza kuwa zipo Halmashauri zilizopewa Milioni 400 na tayari zimekamilisha tofauti na kituo hicho kilichopatiwa shilingi milioni 700 lakini hadi sasa ujenzi haujakamilika.

‘’ Ukiangalia hata eneo lenyewe limetelekezwa, hakuna kazi inayoendelea hapa, Mkurugenzi na watu wako kwa maana Timu ya Menejimenti (CMT) mnatakiwa kuwasilisha barua za kujieleza siku ya Ijumaa wiki hii Ofisini kwangu kwani hali hii niliyoikuta hapa imenisikitisha sana’’. Amesema Mhe. Jafo.

Ameitaka Timu ya Manejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido kijitathmini katika suala zima la kiutendaji kwa kuwa  bado miradi mingi ya halmashauri hiyo hairidhishi na ipo nyuma wakati Serikali  inaelekeza fedha nyingi katika suala la maendeleo kwenye Halmashauri hiyo.

Aidha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za  Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo  anaendelea  na ziara yake  katika Mkoa wa Arusha kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa  katika Mkoa huo.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.