Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

JAFO ashukuru ufadhili wa Dkt Ombeni Msuya

Imewekwa tar.: September 6th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amemshukuru  ufadhili wa Dkt. Ombeni Msuya kwa udhubutu wa kuwasaidia  vijana 23 waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na Kidatu cha tano lakini hawakuweza kujiunga kutokana na mazingira magumu waliyonayo.na hivyo kushindwa kujiunga na masomo hayo.

Ameyasema hayo leo wakati akikabidhiwa nakala ya malipo ya wanafunzi 23 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2019/2020 katika shule mbalimbali nchini, zoezi ambalo lililofanyika katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jijini Dodoma.

Mhe. Jafo amesema ufadhili huo umesaidia wanafunzi ambao wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na mazingira magumu kupata nafasi ya kuendelea na masomo jambo ambalo linasaidia kuendeleza elimu kwa jamii yenye uhitaji nchini.

“Inasikitisha kuona baadhi ya wanafunzi nchini wamefaulu vizuri lakini kwa kukosa ada na sare za shule wanashindwa kuendelea na masomo kutokana na mazingira magumu waliyonayo hali hii inarudisha nyuma juhudi za Serikali za kutatua changamoto mbalimbali za elimu nchini” Amesema Jafo

Amewaomba wadau wa elimu nchini kujitokeza kwa wingi katika kuwawezesha wanafunzi wenye uhitaji nchini hasa wanaoishi katika mazingira magumu na wamefaulu vizuri katika masomo yao ili kuwapa matumai mapya ya maisha na kutatua changamoto za elimu nchini.

Mhe. Jafo amewashukuru wadau wa elimu nchini kwa kujitoa na kusaidia kuchagiza makundi mbalimbali kwa ajili ya kutoa zawadi kwa wanafunzi na waalimu waliofanya vizuri  mashuleni jambo ambalo limeongeza ari ya wanafunzi kuongeza juhudi katika masomo yao na waalimu kujitoa kwa moyo katika kufundisha kwa bidi hali ambayo inasaidia kueleta mabadiliko katika sekta ya Elimu nchini.

Naye Dkt. Msuya amesema  lengo la ufadhili huo ni kusaidia kuinua elimu ya Tanzania kwa kuwasaidia wahitaji hasa wale wanaoishi katika mazingira magumu ili kutatua changamoto zinazojitokeza katika elimu.

Amesema vigezo vilivyoyumika katika kuwapata wanafunzi hao na kupatiwa ufadhili ni wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na kushindwa kuendelea kutokana changamoto ya mazingira magumu, walemavu na watoto wa kike ambao wanakwama kupata elimu.

Dkt. Msuya amesema kuwa udhamini huo umeanza tangu mwaka 2018 ambapo wanafunzi 14 walisaidiwa kulipiwa karo ya shule na kununuliwa sare za shule ambapo kwa  mwaka  wa fedha 2019/2020 wamelipa gharama ya shilingi milioni 3.5  kwa  wanafunzi 23.

Aidha amesema kuwa program hiyo kwa sasa imeweza kuwafadhili  wanafunzi wa  kiume 17 na wanafunzi wa kike 23 katika Mikoa 26 ya Tanzania Bara, lengo likiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali za kuinua elimu nchini

Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.