• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

JAFO aridhishwa na Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mji mwema

Imewekwa tar.: January 22nd, 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kwa usimamizi wenye weledi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mji Mpya iliyopo katika kata ya Lukobe, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Ameyasema hayo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa shule ya Sekondari ya Mji mpya, iliyojengwa na Serikali mara baada ya kuvunjwa kupisha ujenzi wa Reli ya kisasa  inayounaoendelea Mkoani Morogoro.

Mhe. Jafo amesema ameridhishwa  na ujenzi wa Shule hiyo  ambayo imejengwa kwa  kiwango cha hali ya juu na kwa kufuata maelekezo ambayo yamekuwa yakitolewa na Serikali wakati wa Ujenzi..

Amewataka wakandarasi wote nchini pindi wanapopatiwa kazi na Serikali  kuhakikisha wanatenda haki kwa kujenga kwa viwango vinavyotakiwa na  kufuata ubora  uliotolewa na Serikali ili shule hizo zidumu kwa muda mrefu

Mhe. Jafo amesema Serikali imewekeza fedha nyingi kwenye ujenzi wa miundombinu bora ya elimu nchini, hivyo ni wajibu wa kila kiongozi kuhakikisha wanasimamia kwa weledi  ili kuweza kupata majengo bora na imara.

Wakati huohuo amewaagiza wanafunzi wote nchini  wanafunzi wote nchini kuhakikisha wanatunza miundombinu ya shule hiyo ili shule hizo zitumike kwa muda mrefu bila kuharibiha

“Sasa wanafunzi washindwe wenyewe, kama wazazi, Serikali na nchi kwa ujumla imeamua kuwajengea shule ya Kisasa ni wajibu wao sasa kulinda miundombinu na kusoma kwa bidi ili kuongeza ufaulu nchini.” Amesema Mhe. Jafo

Amewataka wanafunzi kuhakikisha wanalinda miundombinu ya shule, Mwanafunzi akiharibu miundombinu lazima alipe na atachukuliwa hatua za kinidhamu, lengo likiwa ni kuziwezesha shule hizo kudumu kwa muda mrefu.  

Mhe. Jafo pia ameutaka uongozi huo kuhakikisha wanawekeza kwenye elimu hasa katika suala zima la ufaulu wa wanafunzi ili kuondokana na changamoto ya elimu nchini

“Haiwezekani shule inawalimu 57 halafu kunakuwa na ufaulu wa daraja la kwanza mwanafunzi wa 5  hiyo haiwezekani, waalimu timizeni wajibu wenu, tumieni  taaluma milizonazo katika kutoa elimu iliyobora nchini na wanafunzi timizeni wajibu wenu wa kusoma kwa bidi  “Amesisitiza Mhe. Jafo

Aidha ameutaka uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro inahakikisha wanaweka makakati wa kutokomeza Ziro ili kuweza kuongeza ufaulu wa wanafunzi katika Halmashauri hiyo.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Erasto Ole Sanare amesema tayari Mkoa umeshajiwekea mkakati wa kutokomeza ziro  Mkoani hapo  kwa kuwataka wakuu wote wa Shule kuhakikisha wanaongeza ufaulu  mashuleni kwao na kupunguza  ziro ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi Mkoani hapo.

“Nitawachukulia hatua waalimu wakuu wote ambao watashindwa kufaulisha wananfunzi Mkoani Morogoro ili kujenga nidhamu ya elimu mkoani hapa na kuongeza kiwago cha ufaulu” amesisitiza Sanare

Amesema ni jambo la aibu kwa mwalimu mkuu kuwa katika uongozi kwa muda wa miaka 15 lakini bado shule yake inaoongoza kwa kutoa ziro, serikali haitafumbia macho bali itawachukulia hatua za kinidhamu  waalimu hao.



Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.