• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Imarisheni uadilifu na utatuzi wa kero za wananchi – Mhe. Batilda Burian

Imewekwa tar.: August 14th, 2024

Na OR TAMISEMI, Tanga 

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mheshimiwa Batilda Burian amefungua mafunzo kwa Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata Mkoa wa Tanga na kuwataka kuwa waadilifu na kutatua kero za wananchi kwa wakati.

Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 14 Agosti, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mheshimiwa Batilda Burian katika shule ya sekondari Galanos ya Jijini Tanga wakati akifungua mafunzo kwa Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata ambapo amewaagiza kuwa waadilifu katika kusimamia mali ya Umma, miradi ya maendeleo na kutatua kero za wananchi kwani inasaidia hata kuwainua wananchi kiuchumi. 

“sisi kama Viongozi  tusipotumia juhudi kwa uwekezaji mkubwa uliofanyika ili sasa tufanye shughuli zetu za huduma kuhakikisha tunaweka mazingira wezeshi, shughuli zetu zinafanyika na kero za wananchi zinatatuliwa hata tukisema Tanga tuna pato la uchumi wa mtu kwa mwaka umetoka Shilingi 2,200,000 hadi 3,000,000 huyu mtu wa kawaida aseme kweli naiona hiyo na wenye nafasi ya kumwezesha ni sisi” alisema Mheshimiwa Batilda Burian.

Mheshimiwa Burian amesema bado zipo changamoto zinazoathiri utoaji wa huduma kwa wananchi katika ngazi ya Kata na Tarafa zinazotokana na utendaji kazi wa kila siku wa watendaji hao usioridhisha kwani viashiria ni kuwepo kwa migogoro ya kiutendaji kati ya Wataalam na viongozi katika ngazi ya kijiji, Kata na Tarafa.

Aidha, ametolea mfano wa mgogoro wa ardhi kati za Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Lushoto ambapo timu nzima ya mkoa ilihusishwa kwenda kutatua mgogoro ambao ungeweza kwisha bila ya kuitisha uongozi wa mkoa jambo ambalo limepoteza muda na fedha.

Naye Bw. Ibrahim Minja Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema mafunzo hayo ya siku mbili yanatolewa na ofisi yake kupitia Programu ya Uimarishaji wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Regions and Local Government Strengthening Programme-RLGSP) na kwamba mafunzo hayo yatakuwa yamekamilisha mikoa 26 yaTanzania Bara na mikoa ya Tanga na Morogoro ndiyo ya mwisho.

Kwa upande wake Mwinyimkuu Nassoro Sultan Mtendaji wa kata ya Bushiri Halmashauri ya Wilaya ya Pangani amesema mafunzo hayo yatamsaidia katika kuwahudumia wananchi kwa kutatua kero zao, kusimamia Viongozi waliopo katika ngazi za msingi kwenye eneo lake, kusimamia miradi na kuwa na uwezo wa kutambua changamoto zilizopo na kuzitatua kwenye maeneo yao badala ya kusubiri Viongozi kutoka ngazi za juu kuja kuziibua.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UNUNUZI WA MAGARI YA WAGONJWA.

    May 12, 2025
  • Mhandisi Mativila aridhishwa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara ya Mtili-Ifwagi na Sawala-Iyegeya

    May 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.