• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

HPSS-Tuimarishe afya, UDOM zaungana kuimarisha afya

Imewekwa tar.: December 6th, 2021

AMID wa Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii Chuo Kikuu cha Dodoma, Dkt. Stephen Kibusi  amesema  waratibu wa afya ngazi ya mikoa ni muhimili katika kuleta mabadiliko kwenye afua za afya  hivyo wanawajibu wa kusimamia suala zima la uimarishaji wa afya kwa jamii

Akifungua mafunzo ya siku 5 ya Uimarishaji afya kwa waratibu wa Afya Mikoa  Dkt.Kibusi amesema kuwawezesha waratibu wa Afya wa Mkoa kutasaidia kuleta mabadiko chanya kwa jamii na kutasaidia afua za afya kuujulikana na kutekelezwa  kwa mujibu wa sera na miongozo ya Serikali.

Amesema kuwa jamii ikielewa umuhimu wa uimarishaji wa afya itasaidia kupunguza magonjwa ambayo yamekuwa ni kikwazo katika maendeleo nchini kwa kuwa jamii yenye afya duni hushindwa kutekeleza majukumu yao kikamilifu kutokana na maradhi

Dkt. Kibusi amesema uwepo wa mifumo mizuri kuanzia ngazi ya watunga sera hadi watekelezaji  kutasaidia suala zima la uimarishaji wa afya nchini  na kuwa taifa imara lenye jamii yenye afya bora ambao wanaweza kutekeleza majukumu yao kimilifu na kuleta maendeleo kwa mtu binafsi na taifa kwa ujumla  

Aidha, amesema maudhui ya mafunzo hayo yatasaidia kuziwezesha timu za Mikoa kuwa na nguvu ya kusimamia  na kuratibu suala zima la uimarishaji afya nchini, hii itasaidia katika kupambana na magonjwa ya mlipuko yanayojitokeza nchini.

Ameendelea kusema kuwa  magonjwa yasiyoambukizwa yamekuwa ni changamoto nyingine ambayo inahitaji kuwekewa mkazo kwenye suala zima la  utoaji wa elimu ya kutosha kwa jamii ili kujenga jamii kujitambua, kudhibiti magonjwa yanayotokana na ulaji na mtindo wa maisha.

“ Tunahitaji kuwa na makakati wa timu za Waratibu wa Mkoa ambazo zitasaidia katika kulitekeleza jambo hilo.”

Naye Mratibu wa Afya Jamii Kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Martha Mariki amesema kuwa Serikali inawajibu wa kuwekeza katika suala zima la afya ya jamii kwa kuwa asilimia kubwa magonjwa yanasumbua sana katika sekta ya afya kwa kuwa afya ya jamii haijakaa katika nafasi yake.

“ Kama waratibu wa afya ya jamii hawajakaa katika nafasi yao vizuri tutegemee magonjwa mengi ya mlipuko na magonjwa mengine yanayoweza kuzuilika, hivyo wanawajibu wa kusimama katika nafasi zao ili afya za jamii ziweze kuimarika na kujenga jamii yenye afya bora katika Sekretarieti za mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.”

Awali, Meneja Mradi wa HPSS-Tuimerishe Afya, Ally Kebby amesema pamoja na kufadhili mafunzo hayo, pia wametoa vifaa mbalimbali va kujifundishia na kujifunzia kwa Chuo Kikuu cha Dodoma vyenye thamani ya Sh milioni 21.

Alisema vifaa hivyo vitasaidia kuboesha kuboresha kazi ya kutoa mafunzo ya afya  na utafiti ili kusaidia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto pamoja na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na wadau wengine  katika mipango  ya kuimarisha afya.



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.