Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

HATI FUNGANI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA YALETA NEEMA KWA MAKANDARASI WAZAWA.

Imewekwa tar.: December 29th, 2024

Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa lengo kuu la kuanzishwa Hatifungani ya Miundombinu ya Barabara za Wilaya (Samia Infrastructure Bond) ni kuwasaidia Makandarasi wazawa kukabiliana na changamoto ya kifedha wanazokutana nazo na kuwawezesha kushiriki katika Miradi mikubwa ya Miundombinu ya Barabara.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hatifungani ya Miundombinu ya Barabara za Wilaya (Samia Infrastructure Bond) uzinduzi uliofanywa na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mhe. Mchengerwa amesema kuwa wakati alipoteuliwa na Mhe. Rais kushika wadhifa wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI na kusimamia eneo la TARURA aliona baadhi ya mambo hayakuwa yakienda vizuri akitolea mfano wa baadhi ya Miradi yenye thamani ya bilioni tano hadi kumi kushuhudiwa kufanywa na wakandarasi kutoka nje ya nchi kazi ambazo zingeweza kutekelezwa na Makandarasi wazawa.

"Mimi na timu yangu tukaona tufanye utafiti ni namna gani tunaweza kuwanyanyua wakandarasi wazawa na wao washiriki moja kwa moja katika utekelezaji wa Miradi mbalimbali ambayo inaweza kuleta manufaa makubwa Kwa Taifa letu" Alibainisha Mhe. Mchengerwa

Mhe. Mchengerwa ameendelea kufafanua kwa kueleza kuwa huo ni utaratibu wa kifedha ambao utatoa fursa kwa Makandarasi wazawa kupata fedha za kutosha ambazo zitawezesha kutekeleza miradi kwa ufanisi na kulipwa kwa wakati kulingana na matakwa ya mikataba ya kazi wanazofanya Ili kuimarisha ustawi wa Makandarasi na ustawi wa uchumi wa Taifa letu Kwa njia endelevu.

"Mhe. Makamu wa Rais, Hatifungani hii inaishi falsafa ya aliyosema Mahtama Gandhi kuwa ‘Maendeleo ya kweli ya Jamii hupimwa kwa jinsi yanavyoboresha maisha ya watu"

" Leo ni siku muhimu sana katika historia ya Taifa letu kwani tukio la leo linaleta faraja kwa Watanzania wengi hasa Makandarasi." Aliongeza Mhe.Mchengerwa

" Hatifungani hii ni sehemu makini katika juhudi za kuhimarisha miundombinu yetu hasa barabara za Wilaya zinazosimamiwa na TARURA chini ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI ambazo ni nguzo muhimu za maendeleo ya Taifa letu". Amesema

Amesema Serikali imekuwa ikifanya juhudi kubwa za kutatua changamoto za miundombinu hasa kupitia Makandarasi wazawa na hatua hii ya uzinduzi ni ishara ya mafanikio ya juhudi za utekelezaji wa maelekezo ya kutatua kero mbalimbali wanazokabiliwa Makandarasi 

Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi Mhe. Mhandisi Godfrey Kasekanya amesema kuwa wao kama Wizara ya Ujenzi yenye dhamana ya ujenzi wanatambua changamoto kubwa ya mtaji ambayo wakandarasi wazawa wanakutana  nayo katika kutekeleza miradi mbalimbali ya Serikali iwe ni miradi iliyo chini ya TARURA au TANROADS na kusisitiza kuwa uzinduzi wa hatifungani hii ya ‘Samia Infrastucture Bond’ ni sehemu ya juhudi za kutatua changamoto hizi na utasaidia sana wenzetu wa TARURA katika kukamilisha miradi kwa wakati.

"Tukiwa wadau wenza katika sekta hii ya miundombinu, hatuna budi kufurahia mafanikio haya tukiamini kuwa tunahitaji TARURA na TANROADS zenye ufanisi kwa ajili ya maendeleo endelevu ya sekta ya miundombinu".Mhe. Kasekanya.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NIMESAINI NOTISI ZA KUVUNJA MABARAZA YA MADIWANI - MCHENGERWA

    June 15, 2025
  • MANYARA BINGWA RIADHA WASICHANA NA WAVULANA MITA 1,500

    June 15, 2025
  • MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO

    June 14, 2025
  • MANYARA NA MWANZA MABINGWA RIADHA MITA 800 

    June 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.