• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Halmashauri 4 zatuhumiwa kwa ubadhilifu

Imewekwa tar.: January 20th, 2019

Halmashauri nne (4) zimetuhumiwa kwa ubadhilifu wa zaidi ya shilingi milioni 785 fedha zilizotolewa kupitia mradi wa Equip-T kwa ajili ya kutekeleza kazi mbalimbali za Elimu katika halmashauri hizo.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari  juu ya tuhuma za ubadhilifu  katika kikao kilichofanyika Makao Makuu ya TAMISEMI, Jijini Dodoma

Amezitaja Halmashauri ambazo zimetumia fedha hizo kinyume na utaratibu kuwa Manispaa ya Kigoma,  Butiama,  Liwale na Bahi ambapo hadi kufikia sasa halmashauri hizo hazijaweza kurejesha fedha hizo TAMISEMI  tangu agizo lilipotolewa.

Mhe. Jafo amesema OR-TAMISEMI iliziagiza Halmashauri 8 ambazo zilituhumiwa kwa ubadhilifu wa fedha hizo kuzirejesha  lakini mpaka sasa  ni Halmashauri nane tu ndizo zilizorejesha fedha hizo kwa wakati na hizo zilizobakia kuonyesha utovu wa nidhamu kwa kutotii maagizo ya Serikali.

“Inasikitisha kuona baadhi ya Halmashauri kushindwa kutii maagizo yanayolewa na Serikali ya kutaka Halmashauri zilizotuhumiwa kwa ubadhilifu wa fedha za Equipt T kurejesha fedha hizo ili ziweze kutekeleza miradi ya elimu nchini” anasema.

Ameendelea kufafanua kuwa amesikitishwa zaidi na Manispaa ya Kigoma Ujiji na  Butiama kutokana na kuwa na tuhuma nyingi za ubadhilifu wa fedha za miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Halmashauri  hiyo.

Mhe. Jafo ameziagiza Halmashauri ambazo bado hazijakamilisha kurejesha fedha hizo  kuhakikisha zinawasilishwa kabla ya tarahe 28/3/2019.

Amezielekeza mamlaka husika kuwachukulia hatua za kinidhamu  na kuwashusha vyeo Afisa Mipango, Mweka Hazina na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama kwa kushindwa kutimiza wajibu wao.

Mhe. Jafo ameitaka mamlaka inayohusika kufanya uchunguzi wa aliyekuwa Mkurugenzi, amemuagiza Katibu MMkuu OR-TAMISEMI kuwachukulia hatua  Mweka Hazina wa Halmashauri ya Bahi Said Ishabairu ambaye alihamishiwa katika Halmashauri ya  Manispaa ya Iringa.  

“Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya watumishi kuhamishwa maeneo  ya kazi pale wanapokosea, hili si jambo jema Serikali haitavumilia bali itawachukulia hatua za kinidhamu watumishi wote wanaoihujumu  Serikali popote pale watakapokuwa” alisema.

Aidha ameziagiza Mamlaka husika kumtafuta aliyekuwa Mweka Hazina wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ambaye kwa sasa amestaafu   ili aweze kuhojiwa kwa  tuhuma hizo.

Jafo aliongeza kuwa Serikali haitavumilia mambo yeyote ambayo yanaleta hujuma  katika  suala zima la kuwahudumia watanzania hivyo amewataadharisha Wakurugenzi wote katika Halmashauri za Mamlaka za Serikali za Mitaa  kufuata sheria, kanuni  na taratibu zilizowekwa katika matumizi ya fedha za miradi mbalimbali  ya maendeleo.

Jafo alimalizia kwa kumuagiza Naibu Waziri Mhe. Mwita Waitara  kusimamia kwa makini  miradi ya elimu  na kuangalia namna fedha zilizvyotumika katika miradi hiyo  agizo ambalo Mhe. Mwita amesema alalitekeleza kwa umakini mkubwa.


Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.