• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

HAKUNA SABABU YA KUTOKUFANYA KAZI TUMEONA DHAMIRA NJEMA YA SERIKALI’ Dkt. Hilari

Imewekwa tar.: February 15th, 2024

Na. Asila Twaha, OR - TAMISEMI

Mwenyekiti wa Waganga Wafawidhi Dkt. Florance Hilari amesema, hakuna sababu ya kutokufanya kazi sababu Serikali imeonesha dhamira njema kwa wananchi wake kuendelea kuboresha sekta ya afya nchini.

Dkt. Hilari ameyasema hayo tarehe 14 Februari, 2024 mkoani Dodoma wakati akisoma risala kwa niaba ya Waganga Wafawidhi wakati wa kufunga mkutano wa kwanza uliowakutanisha Waganga Wafawidhi wa Vituo vya kutolea huduma za Afya ya msingi.

“Tunampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya katika kuboresha sekta ya afya nchini, sisi kama watendaji wake tumeona dhamira yake kwa wananchi” amesema Dkt. Florance

Amesema wao kama waganga wafawidhi hawana sababu ya kutofanya kazi huku ukizingatia zaidi ya asilimia 80% ya wananchi wote wanapata huduma ya afya kuanzia ngazi ya Zahanati  hadi ngazi ya Halmashauri amesema, hivyo kwa jitihada Serikali wanazozifanya ni lazima ziambatane na utoaji wa huduma bora kwa wananchi ambao sisi ndio tunapaswa kuitoa kwa wananchi.

Ameongeza kuwa wataendelea kufanya kazi kwa kuzingatia miongozo ya Wizara zinazosamia sekta ya Afya , Uongozi wa Mikoa huku tukijikita kwenye nguzo sita za Shirika la Afya na ile moja ya nchini kwetu ambayo ni  usimamizi wa ujenzi wa miundombinu ya  kutolea huduma za Afya.

Akiwasilisha changamoto za waganga wafawidhi Dkt. Hilary amesema wafawidhi wanafanya kazi kubwa sana kwenye vituo vya kutolea huduma ngazi ya msingi lakini hawana posho ya madaraka kitu kinachoshusha morali ya kazi na ikizingatia katika baadhi ya vituo Mfawidhi anakua peke yake hivyo anafanya kazi za utawala na kidakitari.

Pia aliiomba Serikali kuangalia namna ya kutoa mafunzo na ufadhili katika maeneo yatakayokuza kada hiyo huku wakiiomba Serikali kuona namna ya kufanya mapitio ya viwango vya posho ya kuitwa kazini  "Oncall allowance”

Kwa upande wa Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ambaye  ni mgeni rasmi katika kufunga kikao hicho akitolea ufafanuzi wa hoja zililotolewa na wataalamu hao huku akiahidi kuzifanyia kazi amesema, Serikali inathamini na kutambua majukumu yao na chini ya usimamizi wa  Dkt. Samia Suluhu Hassan atahakikisha  kuanzia Julai, 2024 Waganga Wafawidhi hao wanaanza kulipwa posho.

Mkutano huo wa siku mbili uliowashirikisha Waganga Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za Afya vya Serikali pamoja na Hosptitali za Kidini zenye makubaliano na Serikali ulifunguliwa na Mhe. Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri wa TAMISEMI.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.