Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

GIS itasaidia uendelezaji wa miradi ya maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchini

Imewekwa tar.: May 6th, 2019

Imeelezwa kuwa kuunganishwa kwa Mfumo wa ukusanyaji wa  taarifa za Kijografia (GIS)  na mfumo wa ukusanyaji wa mapato wa kielektroniki katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS) kutasaidia kuwa na taarifa sahihi za ukusanyaji wa Mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Hayo yamesemwa na Mshauri na Mtaalam wa Mfumo wa Ukusanyaji wa Taarifa za Kijografia (GIS) kutoka Mradi wa Uendelezaji Miji Tanzania (TCSP} ulio chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bi. Grace Kyaruzi wakati wa kufanya majumuisho ya ziara ya kikazi ya ufuatiliaji wa Miradi inayofadhiliwa na Benki ya Dunia Jijini Mbeya.

Amesema kuwa kuunganishwa kwa mifumo hii kutasaidia kuleta mapinduzi makubwa katika kuhakikisha Mamlaka za Serikali za Mitaa zinakusanya mapato na kuwa na taarifa zote zilizoko katika ardhi ambazo zitasaidia viongozi wa Serikali kufanya maamuzi katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.

Amesema kuwa mifumo hii  italeta mabadiliko katika suala zima la ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri zote nchini, Pia haitasaidia  ukusanyaji wa mapato pekee  bali utakuwa mfumo maalum  wa kupata taarifa nyingi zitakazosaidia kutenda vyema katika utendaji kazi  katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Bi. Kyaruzi amewataka viongozi wa Jiji la Mbeya kuhakikisha wanatoa elimu kwa makundi mbalimbali ya Mkoa huo ili waweze kupokea mfumo huo ambao utasaidia kupunguza changamoto katika kuendeleza miradi mbambali ya maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

“Kutumia mfumo wa GIS kutasaidia viongozi  kufanya maamuzi stahiki katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye  Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchini hivyo ni wajibu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kuhakikisha elimu inatolewa kwa wananchi juu ya umuhimu wa ukusanyaji wa taarifa  mbalimbali katika maeneo yao ili kuwa na kanzi data (Database)” Anafafanua Bi. Kyaruzi

Wakati huohuo Mwekahazina wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bw. Amede Ng’wanidako amesema kuwa  Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeweza kuongeza mapato yake kwa asilimi 75  jambo ambalo limetokana na juhudi na kufanya kazi kwa weledi katika kuhakikisha Mapato yanakusanywa  kwa wakati.

Amesema Jiji hilo limejiwekea mkakati wa kuboresha ukusanyaji wa mapato kwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara  kuhusu umuhimu wa kulipa kodi  na kuendelea na zoezi  la ukaguzi wa vyanzo vya mapato.

Aidha amesema kuwa watatumia takwimu (data) za TRA katika kukadilia ushuruwa huduma  na fomu  za makadirio”Deceleration form” kwa wateja wasiotuza  hesabu.


Na.Angela Msimbira OR-TAMISEMI MBEYA



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.