• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Fainali za UMITASHUMTA mita 200 na mita 1500 kufanyika kesho Mtwara

Imewekwa tar.: June 15th, 2021

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Fainali ya mbio za mita 200 na mita 1500 katika mashindano ya UMITASHUMTA kwa wavulana na wasichana inatarajiwa kufanyika kesho katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Mtwara.

Sambamba na fainali hiyo ya riadha pia kutafanyika mbio za mita 400 hatua ya nusu fainali kwa wavulana na wasichana na pia mbio za kupokezana kijiti 4 x 400 hatua ya nusu fainali nayo imepangwa kufanyika kesho.

Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa fainali ya kurusha mkuki, Mratibu Msaidizi wa Kamati ya Riadha ya UMITASHUMTA Taifa Neema Chongolo amesema michezo ya riadha inatarajiwa kuhitimishwa alhamis ambapo washindi wa michezo ya nusu fainali watakimbia hatua ya fainali.

Miongoni mwa michezo iliyochezwa jana, ni mchezo wa kurusha mkuki ambapo kijana Juma Mdawasi kutoka shule ya msingi Midoli wilayani Babati aliweza kushinda kwa upande wa wavulana baada ya kurusha Mkuki umbali wa mita 42 na kuwaacha mbali wanafunzi wenzake.

Kwa upande wa riadha kulifanyika mbio za mita 100 hatua ya nusu fainali kwa wavulana na wasichana, mbio za mita 400 kwa wavulana na wasichana na mbio za kupokezana kijiti 4 x 100 hatua ya mchujo.  

Michezo mingine iliyofanyika jana jioni katika hatua ya robo fainali ni mchezo wa soka wavulana ambapo timu  ya mkoa wa Geita ilipambana na Shinyanga, Dar es salaam ilimenyana na Tanga, Mara dhidi ya Rukwa na Tabora dhidi ya Mtwara.

Kwa upande wa soka maalum wavulana Kilimanjaro walichuana na Kigoma, Dar es salaam dhidi ya Tabora, Mtwara ilipambana na Njombe na Singida dhidi ya Shinyanga.

Katika soka wasichana Tabora ilichuana na Lindi, Dar es salaam dhidi ya Singida, Geita dhidi ya Mara na Mwanza dhidi ya Kagera.

Katika mpira wa wavu Mbeya ilicheza dhidi ya Mwanza, Dar es salaam dhidi ya Katavi, Mtwara dhidi ya Mara na Pwani walicheza na Dodoma.

Kwa mpira wa mikono timu zilizoingia robo fainali kwa wasichana ni Mara, Songwe, Morogoro,Katavi, shinyanga Tanga, Singida na Geita.

Katika mpira wa mikono wavulana, Rukwa ilicheza dhidi ya Mwanza,  Tabora dhidi ya Morogoro, Pwani dhidi Manyara na Tanga dhidi ya Mbeya.

Robo fainali ya Netiboli ilizikutanisha Morogoro dhidi Mwanza, Tanga dhidi ya Songwe, Mara dhidi ya Geita na Dar es salaam dhidi ya Kigoma.

Fainali za UMITASHUMTA mwaka huu zitahitimishwa tarehe 18 juni 2021 ambapo michezo mbalimbali itakamilika siku hiyo kwa washindi wa jumla kukabidhiwa vikombe na medali za dhahabu, fedha na shaba

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - TOA July 22, 2022
  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MJINI MAGHARIBI, PEMBA ZATWAA UBINGWA MPIRA WA MEZA

    August 17, 2022
  • ‘TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA’ BASHUNGWA

    August 17, 2022
  • Utekelezaji wa Miradi ya Elimu isimamiwe na kukamilika kwa wakati- Dkt. Msonde

    August 15, 2022
  • UBUNIFU KIVUTIO UMISSETA 2022

    August 15, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.