Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

DKT. MAGEMBE APONGEZA UTEKELEZAJI MIRADI YA AFYA LINDI NA MTAMA OR - TAMISEMI

Imewekwa tar.: July 25th, 2022

Naibu Katibu Mkuu (Afya) Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt.  Grace Magembe amepongeza kasi ya utekelezaji wa miradi katika Halmashauri ya Wilaya ya Lindi na Mtama na kuwasisitiza kuendeleza kasi hiyo kwa miradi mingine inayoendelea kutekelezwa katika Halmashauri hizo.

Dkt. Magembe ameipongeza Manispaa ya Lindi kwa  kuimarisha usimamizi  wa fedha na kuwa  wabunifu  katika utekelezaji   ambapo kwa kutumia Shilingi Mil. 250 walizopewa na Serikali  kujenga  jengo la wagonjwa wa nje, maabara na kichomeo taka katika kituo cha Afya Ng’apa kwa kutumia  fedha hiyo hiyo wameongeza  mnara wa tenki la maji na  shimo la kutupia kondo la nyuma.

Hayo yamebainishwa tarehe 25 Julai 2022 baada ya ziara yake ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za Afya katika Halmashauri hizo Mkoani Lindi.

“Nimeona namna ambavyo kamati ya usimamizi  wa ujenzi, ofisi ya Mhe. Mkuu wa Wilaya,  Ofisi ya Mkurugenzi na wananchi mnavyoshirikiana kutekeleza na kusimamia  miradi, hongereni  sana na endeleeni na utekelezaji ili miradi iishe kwa wakati na kuanza kutoa huduma” Dkt. Magembe

Aidha, amempongeza Mkurugenzi wa  Halmashauri ya Wilaya ya Mtama kwa kuwa mbunifu katika  kusimamia matumizi ya fedha  katika utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya Afya ya Hospitali ya Wilaya ya Mtama na kuagiza baadhi ya huduma za Afya  zianze kutolewa  kwakuwa  majengo tayari yamekamilika.

Awali akipokea taarifa ya utekelezaji wa huduma za Afya katika Halmashauri   ya  Wilaya ya  Mtama, Dkt Magembe amemuagiza  Mkurugenzi  wa Halmashauri hiyo kutekeleza afua za lishe na Ustawi wa Jamii  pamoja na kendelea  kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii ambapo  kwa sasa  uandikishaji upo 15% tu.

Kupitia taarifa hiyo ambayo imeonesha   kiwango cha  maambukizi ya malaria bado kiko juu katika Halmashauri ya Mtama , Dkt. Magembe amemtaka Mkurugenzi kujikita katika kuua mazalia ya mbu na kuhamasisha wananchi kufanya usafi wa mazingira  ili kuondoa mazalia ya mbu yanayosababisha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria.

Manispaa ya Lindi imepokea  shilingi Mil 500 kwaajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Nga’apa,   Halmashauri ya Mtama imepokea  zaidi ya Bil. 3 kwaajili ya uendelezaji wa hospitali ya Halmashauri.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.